Ufugaji wa Tausi

Ufugaji wa Tausi

HamisaBaby

Member
Joined
Oct 6, 2017
Posts
80
Reaction score
25
Nmekutana na post hii huyu mzaz alipost wapo ikulu

naomben mniambie wanafugwaje?
na ni ruhusa mtu yeyote kuw naye nchini ama had uwe na license?
sielewi kitu mnijuze
 
Hao ni nyara serikali huruhusiwi kuzichukua au kuzimiliki
 
Back
Top Bottom