nenda chuo kikuu cha sokoine morogoro wanatoa short course iyoHabar wana jamii forums mimi ninataka kuanzisha mradi wa kufuga samaki ila sijui chocjotr kuusu mradi huo na ninahitaj ushaur maelekezo kwa yeyote mwenye ujuzi huoo ..kwani eneo husika ninalo bado kulijaza majitu.