Search kuna thread kama 3 humu zimechambua kuhusu ufugaji samaki. Aidha, kuna aina nyingi ya samaki wanaofugwa na wana changamoto tofauti. Search hizo thread na ukiwa na swali karibu nitakusaidia. Ukipenda pia hiyo huduma inapatikana katika Idara ya ufugaji samaki pale veterinary temeke, maafisa uvuvi halmashauri zote nchini, vituo vya ufugaji samaki Songea, Morogoro, Chato, Lindi, Mwanza, Mara, Bagamoyo, Igunga, Bukoba. Tembelea maonesho ya nane nane kuna huduma hiyo pia. Kwa private karibu inbox.