Ufugaji wa njiwa

Slim Mchuma

Member
Aug 19, 2016
83
51
Nimepitia post nyingi za kilimo na ufugaji na wengi wao katika ufugaji wamejikita katika ufugaji wa ndege aina ya kuku, bata, bata mzinga, na wadudu wengne kama nyuki

Nataka kufaham kuhusiana na ufugaji wa njiwa na masoko kwa ujumla
 
Njiwa huwa wanafugwa na watoto, tukiwa primary nakumbuka tulikuwa tunashindana kwa kufuga njiwa.
Sina uhakika kama wanaweza kufugwa kifursa za kiuchumi (kibiashara) labda kama utafuga njiwa weupe ambao huhitajiwa sana na waganga wa kienyeji.
 
Habari mkuu, kuna aina fulani ya njiwa ni wazuri sana kwa sura na muonekano ambao hunuliwa kwa bei ghali kidogo ukilinganisha na njiwa aa kawaida,aona hii mara nyingi hutumika kwa mapambo tu nimewahi kumuuliza jamaa mmoja pale ilala ambaye ni mfugaji wa hao njiwa,njiwa mmoja anafika hadi 90000/= kwa hiyo mkuu hiyo ni fursa jaribu.
 
IMG-20160910-WA0004.jpg
 
pair ni laki na nusu hawa ukitaka wakue wape mtama na uwawekee kwenye mchanga
 
Hili lilikosa jibu jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Njia huatamia mayai kwa siku 17 then ya 18 na 19 hutotoa.....

Ila hutegemea na mazingira ingawaje haiwez kuzid wala kupungua siku mbili kati ya hizo nlizoandika.

Baada ya hapo njiwa hulalia watoto ila kuwapa joto mpka pale watakapotengeneza manyoya...

Hapa itachukua km week mbili hadi tatu.

Week ya nne had ya 6 njiwa huanza kutoka nnje na kujifunza kuruka ingawaje wengine huchelewa au kuwahi kutegemeana na upatikanaji wa chakula na malezi ya mfugaji.

Ifikapo week ya kumi njiwa huwa tayar anaruka na tayari kwa kupandwa..... Akianza kupandwa ndipo mambo ya kuanza kutaga yatafata....

Kwa iyo siku ya kutaga kwake hakuna atakayekuambia kwa maana kwamba inategemea na umalaya wake na lishe pia..

But tegemea kuanzia week ya kumi kwenda juu siku yoyote njiwa anaweza kutaga.

Umenipiga shule nzuri...na umenifurahisha pia...eti kutegemea umalaya....

Anatotoa kwa siku mbili!siku ya 18 na 19

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asanteni!
Ila Jazieni Nyama Zaidi!
Magonjwa Ya Njiwa Ni Yapi?
Kinga Ya Hayo Magonjwa?
Matibabu Yake Vipi!..
Nitashukuru Zaidi, Karibuni.
 
Asanteni!
Ila Jazieni Nyama Zaidi!
Magonjwa Ya Njiwa Ni Yapi?
Kinga Ya Hayo Magonjwa?
Matibabu Yake Vipi!..
Nitashukuru Zaidi, Karibuni.
Sahihi kabisa...

Njiwa akiwekwa sehemu saafi na chakula na maji ya kutosha pamoja na makazi yaliyo juu saaana toka ardhini huwa ni ngumu saana kupatwa na magonjwa....

Ingawaje yapo magonjwa ya njiwa yanayowiana na ya kuku...

Kama vile kunyonyoka manyoya..

Kuvimba macho n.k

Hii utokana na wadudu fulan kama inzi warukao... Pamoja na kuambukizwa kwa njia ya upepo toka kwa ndege wengine.

Kipindi amabacho miembe huanza kutoa maua ndio kipindi ambacho magonjwa haya utokeza saaana..

Kinga na tiba ya kitaalamu sijaijua... But nikiwa mtoto nilikua natumia kuponda vitunguu swahum nachnganya na maji... Then nawapa... Wanakuwa good.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yap kw kutegemea na yai la mwanzo kutagwa hutotolewa mapema likifuatiwa na lingine.

Maaana huwa hayatagi kwa mara moja....

Na ninahisi(sina hakika) dume anatotoa la kwake na jike la kwake....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi njiwa nawapenda sana...ila naona wenyewe hawanipendi!kila niwanunua nawanyonyoa manyoa...wakianza kurudi wakija njiwa wageni wakiondoka wanawatorosha...hata kama nawapa msosi wanatoroshwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom