wakaliwetu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2020
- 671
- 1,143
Upo mkoa gani kwa Dar wauza vyakula vya Mbwa wapo wengi sana.Wanajiitaje hao Jamaa huko Instagram.?
Nilisafiri kipindi cha miezi 8 nimerudi majuzi ndio nimewakuta kwenye hali kama hioKabla ya hapo walikua na afya nzuri? hayo mabadiliko umeyaona kuanzia wakiwa na umri gani?
Tuanzie hapo kwanza.
Pole sana ndugu hebu fwata hayo niliyo kuelekeza hapo juu atarudi sawa kabisa, na ni Mwa gani huyo?Nilisafiri kipindi cha miezi 8 nimerudi majuzi ndio nimewakuta kwenye hali kama hio
Nashukuru sana kwa ushauriUsimptupe mkuu, mjali mapka afya yake irudi, 5years bado sana.
Nashukuru sana kwa ushauri
Nashukuru umenishauri kitabibu zaidi. Mm nipo dsm uwanda wa chamazHabarini za kutwa ndugu nawasalimuni kwa jina la Mungu naomba nitolee jibu la hiyo shida aliyoipata mfugaji mwenzetu.
1, Kwanza ningemshauri aite vet kumwangalia huyo mbwa wake ajue tatizo ni nini.
2, ulishwaji wa mbwa chukuwa nyama ichemshe halafu changanya na chenga za mchele zile wanazo pikia vitumbuwa Mbezi pale tuna nunu kg1 sh 650 mpaka700.
3, uwapatie Mbwa wako dawa za minyoo vidonge ni ZAROKRIM. Sindano ni INVOMEC ENJICTION.
4,Muoshe vyema na usafishe sehemu anayo lala vizuri na kumtolea kinyesi ktk banda lake kila mara.
5, Mpatie vidnge vya PET-FORCE kimoja kila siku baada ya siku 14 atakuwa sawa.
Minyoo huwa ni ugonjwa unasumbuwa sana Mbwa hasa hizi mbegu ambazo sio za asili.
Karibu sana kwa swali lolote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiki ni Kiswahili au?
Germany ShepherdPole sana ndugu hebu fwata hayo niliyo kuelekeza hapo juu atarudi sawa kabisa, na ni Mwa gani huyo?
Nashukuru umenishauri kitabibu zaidi. Mm nipo dsm uwanda wa chamaz
Hawa jamaa minyoo na kupe kwao ni janga kubwa sana niliwahi poteza 2 kwa minyoo. Nakushauri anza kutibu minyoo kwanza halafu waogeshe kwa sabuni na maji kawaida ukimaliza mwoshe na shampoo kwa wiki mwoshe mara 2 baada ya hapo utaona mabadiliko makubwa.Germany Shepherd
Ni Joke tu ya Kiswahili alivyoandika, Intarahamwe ni Paramilitary group ya Wahutu.Intarahamwe ni zimwi gani?
Ubarikiwe sanaHatua nilzoanza kuchukuaView attachment 2013317
Mkuu huyu atakuwa ni mnyaki sio bureHiki ni Kiswahili au?
Mdogo bado. Mbwa anakaa hadi miaka 15 akitunzwa vizuriNashukuru sana kwa ushauri mbwa amekonda kabaki mifupa manyoya yamenyonyoka hadi nafikiria kumtupa maana niliaafiri kama miezi 8 sikuwepo nyumban kuja kurud ndio namkuta kwenye hali kama hio. Pia mbwa wangu ana miaka 5 je inaweza kuwa amechoka ajili ya uzee?
Hahahahaha hahaha aiseeeWakaangie chips mkuu wawekee tomato na kachumbali yenye pilipili nyingi
Tayar anaendelea kuhudumiwa na daktari wa mifugoMpeleke kwenye hospitali ya wanyama wakupe muongozo...