Yuko poa sana mkuu na ni mkali sana kwangu watu wanapaheshimu sana usiku labda waje na bunduki hamna puppies mkuu ni dume na sijamtafutia Mchepuko hadi leo

Nashukuru mkuu Sabayi, tunaweza fanya kitu tumpatie kamchepuko??
Hapa home nina kambwa kapo lonely mno, sijui ni breed gani lkn ana umbo kubwa kidogo, manyoya mengi sana mwilini, pia ni mkali vibaya mno.
Ana kama miezi6 sasa.

Haina shida mkuu wa kwangu ni cross breed ya Bulldog sijajua na huyo wako kama watatoa product nzuri otherwise karibu akiwa kwenye joto unaweza mleta tu wakafanya umalaya labda wanaweza toa product nzuri