Mimi hata nsipofunga gate waje tu watakutana nao. Wako 5 wa kufa mtu. Hata mbwa wa jirani akisogea tu kesho yake msiba! Lazima waue. Wakiwa kazini hawana masihara hata kidogo. Nilileta Rottweiler toka Kenya alikuwa na 1 month nililipia 50,000kshs. Wacha usumbufu wa border!
Tatizo polisi wetu wanawatrain kuwa loyal kwao. So ikitokea wamepata order wanamwita wakati wewe haupo wanasepa naye. Mimi nafikiri wangeweka darasa kila mtu anaenda na mbwa wake halafu unafundishwa wewe namna ya kumfunza mbwa wako! Hii ingesaidia kuweka siri kati ya mbwa na mmiliki wake. Otherwise its a good business.
Mkuu wanaweza kumchukua hata kama hawajui?
Jamaa mbwa wazuri wawili nitawapata wapi? Niko dar
Wa umri gani? Kama unataka wakubwa nenda kaulize pale Kurasini Polisi kwenye kituo cha Mbwa wa Polisi. Jamaa yangu mmoja pale Tabata anao wadogo wa kisasa. Nitamuuliza kama bado bei ni ile ile ya mwaka jana kisha nitaku-pm.
Soko la mbwa lipo wapi?
Mimi natafuta mbwa ili wawe walinzi pale shamba, kuna watu kadhaa humu nao wanatafuta mbwa, tayari hili nalo ni soko, ukienda pale Victoria utaona vijana wamebeba mikononi na kuwanadi. Soko lipo sana, tatizo ni ubora wa bidhaa, hawa wa kienyeji hawalipi sana.Soko la mbwa lipo wapi?
Sijapata mtu wa ukweli, wengi wanataka biashara kwa mlango wa nyuma, mimi nataka kufanya biashara ya haki,tena mchana kweupe. Kigamboni kuna jamaa anao, kaniahidi kwa laki mbili kila mtoto mmoja.Ndugu [MENTION]Malila [/MENTION] asante. Je, unajua hao wa kurasini ni bei gani? Kabla sijaenda huko.
Sijapata mtu wa ukweli, wengi wanataka biashara kwa mlango wa nyuma, mimi nataka kufanya biashara ya haki,tena mchana kweupe. Kigamboni kuna jamaa anao, kaniahidi kwa laki mbili kila mtoto mmoja.
Nimepata Jibwa moja lina ukubwa kama wa Ndama na linamiezi tisa tu kuna muhindi mmoja amemshindwa cause alikuwa anawang'ata petty dogs wake nimemdaka faster ntampiga picha nimuweke hapa sijui jina lake nasubiri kajike kangu kakue nianze kuzalisha hii mbegu ni ya ukweli sana na ni mkali sana
ongeza majike mawili ili upate watoto wengi utuuzie na sisi majirani zako. Nasubiri picha ya huyo dog.
Nimepata Jibwa moja lina ukubwa kama wa Ndama na linamiezi tisa tu kuna muhindi mmoja amemshindwa cause alikuwa anawang'ata petty dogs wake nimemdaka faster ntampiga picha nimuweke hapa sijui jina lake nasubiri kajike kangu kakue nianze kuzalisha hii mbegu ni ya ukweli sana na ni mkali sana
Mimi natafuta mbwa ili wawe walinzi pale shamba, kuna watu kadhaa humu nao wanatafuta mbwa, tayari hili nalo ni soko, ukienda pale Victoria utaona vijana wamebeba mikononi na kuwanadi. Soko lipo sana, tatizo ni ubora wa bidhaa, hawa wa kienyeji hawalipi sana.
Nimesikia story ya mbwa kama huyu from mhindi wa Masaki. Jitahidi upate jike mzuri pia, asiwe koko
hivi hakuna makabila/mataifa yanayokula panya? Nataka nifanye utafiti wa soko la panya. Nahisi ni rahisi kuwafuga, imagine ukiwa na banda lako moja si wanatosha hata panya laki. Lol
Sijapata mtu wa ukweli, wengi wanataka biashara kwa mlango wa nyuma, mimi nataka kufanya biashara ya haki,tena mchana kweupe. Kigamboni kuna jamaa anao, kaniahidi kwa laki mbili kila mtoto mmoja.