mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,174
dah nilienda kununua mbuzi cku moja mnadai kuna mzee mmoja alikuwa anawaita mbuz wake kwa majina na wanakuja akiondoka wanamfata yan hata haswagi.
Hawa wa chama wana mwenyewe.
Kuna mpare mmoja almaarufu omari mbuzi
Mtaani kwetu tunawaita Automatic Mbuzi