Madam Ritha Massawe
Senior Member
- Sep 25, 2021
- 162
- 155
viafaranga huwa vinauzwa kwa box mpendwaKifaranga kimoja ni 1700
Vifaranga mia ni shiringi 170,000
Kwanini hamuweki Unafuu kwa anayechukua vifaranga wengi kuanzia hao mia.
Mfano kimja ni sawa 1700
Kwanini mia isiwe 160,000
USHAWISHI.
Sawa,viafaranga huwa vinauzwa kwa box mpendwa
kunaulazima kwakua wengine awawez kuzidisha sio wote wanauelewa broSawa,
kumbe hakukua na ulazima wa kutaja bei ya kifaranga kimoja.
niwakisasani wa kisasa au kienyeji
unafahamu kitu inaitwa per unit? ka kifaranga kiko counted na kina cost zake kuanzia kikiwa yai.Kifaranga kimoja ni 1700
Vifaranga mia ni shiringi 170,000
Kwanini hamuweki Unafuu kwa anayechukua vifaranga wengi kuanzia hao mia.
Mfano kimja ni sawa 1700
Kwanini mia isiwe 160,000
USHAWISHI.
Mkuu nimekuelewa unazungumzia discount kwa bei ya jumla.coz hapa anae nunua jumla na rejareja hawajapishana hata thumuni.Kifaranga kimoja ni 1700
Vifaranga mia ni shiringi 170,000
Kwanini hamuweki Unafuu kwa anayechukua vifaranga wengi kuanzia hao mia.
Mfano kimja ni sawa 1700
Kwanini mia isiwe 160,000
USHAWISHI.
BROILER-ROSE NA IYO LAYERS NI HYLINESasso mnawauza kama mawakala au? the same na Kuroiler, au na nyie mna Parenrs stock wa hao Cjotara?
Na hao Broiler ni breed gani? the same na Hao layers ni breed gani?
Kwamba wafugaji baadhi walio humu ndani hawawezi kuzidisha?. Aya bana.kunaulazima kwakua wengine awawez kuzidisha sio wote wanauelewa bro
wafugaji wananielewa mbona
Na jambo la kustajabisha hauzi kimoja kimoja, sijui kwa nini wasingekua wanaweka Bei ya box tu tu badala ya kimoja kimoja.Mkuu nimekuelewa unazungumzia discount kwa bei ya jumla.coz hapa anae nunua jumla na rejareja hawajapishana hata thumuni.
Nahitaji broiler vifaranga wawili... inakua 2,600 nadhani... Mpo wapi niviijie kwa hapa Mwanza?๐S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED๐
AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA
0781647066
____________________________________________
๐ โ๏ธ 0781647066
WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA BORA VYA KUKU WA NYAMA PAMOJA NA KUKU WA MAYAI
TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM , DODOMA NA MWANZA
tunazalisha na kuuza vifaranga aina zifuatazo
๐ ๐ 0781647066
Broiler KIFARANGA WA SIKU TUNAUZA TSH 1300 KWA 2000= BOX LA PISI MIA NI TSH 130000/=
#LAYERS KIFARANGA WA SIKU TUNAUZA TSH 2700/= BOX LA PISI MIA NI TSH 270000/=
Sasso #KIFARANGA WA SIKU TUNAUZA TSH 1700/=BOX LA PISI MIA NI TSH 170000/=
@KUROILA KIFARANGA WA SIKU TUNAUZA TSH 1700/= BOX LA PISI MIA NI TSH 170000/=
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Note: vifaranga wetu wanakuwa tayari wamepata chanjo za awali kama MAREX
na pia vifaranga wetu tunafanya sex selection kwa breed's zote ili wateja wapate vifaranga wenye uwiyano mzuri wa jinsia
''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
:::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
KWA MAITAJI YA VIFARANGA BORA NA USHAURI WA KITAALAMU PIA WAWEZA WASILIANA NA SIMU NAMBA ๐ โ๏ธ
#0781647066
WHAT'S APP 0781647066
WAUZAJI_VIFARANGA. VIFARANGA_BORA
KUKU KUKU_PROJECT Kilimo ufugajiwakuku
SHAMBA LA Ufugaji Bora Tanzania,S&Q GROUP INTERNATIONAL LIMITED
si wote wanaweza ndio maana nimeandika kwa pande mbiliKwamba wafugaji baadhi walio humu ndani hawawezi kuzidisha?. Aya bana.
tunauza kwa box tu kama utahitaji tupigie simNahitaji broiler vifaranga wawili... inakua 2,600 nadhani... Mpo wapi niviijie kwa hapa Mwanza?
๐S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED๐Na jambo la kustajabisha hauzi kimoja kimoja, sijui kwa nini wasingekua wanaweka Bei ya box tu tu badala ya kimoja kimoja.
Mfano box la vifaranga 100, Bei yake 170,000.
Lakini hata ukichukua box 10 au 20 hakuna punguzo.
kisasani wa kisasa au kienyeji