Umeleta tangazo ukaeleza kwa uchache ulitajuwa eleza kwa undani ili yule ambaye alikuwa hana nia ashawishike
Mfano
Najua cost ya bwawa inatofautiana kwa kila eneo ila kuna garama kama za hao samaki,chakula na mahitaji mengine uungeyaelezea pamoja na faida atakayo pata