Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,375
- 14,870
Nilisoma Tu kwenye biology... reproduction
Reproduction inakuaje hadi jinsia inapatikana?!!; kwakuwa wewe ni msomi basi unaweza kunifundisha.
Nilisoma Tu kwenye biology... reproduction
Meiosis.Reproduction inakuaje hadi jinsia inapatikana?!!; kwakuwa wewe ni msomi basi unaweza kunifundisha.
Sikuwa na mpango wa kuchangia, ila dah!Hivi hizo mbegu duni mnazitoa Wapi. Miezi 2-3 huyo ni nguruwe anafaa kuliwa. Bei ya 5O ni nguruwe was wiki 2 au 3
Starter inauzwajeVifaranga lazima wapatiwe starter walau kwa mwezi mmoja,na kwa kila vifaranga 100 chotara watakuhitaji 50kg ya starter kwa mwezi,na baada ya mwezi kuisha sasa unatakiwa kianza kuwachanganyia mwenyewe ili kuokoa gharama.
Ni vizuri kuku wa kienyeji/chotara wakafugiwa shambani kwani utawaachia nje hivyo gharama za chakula zitapungua
Hajui hata samaki ni haramu kwa wamasai au ng'ombe ni haramu kwa wa Hindu? Watu waendelee tu kukomaa na tamaduni za watuUmemuuliza ni wa imani gani akakwambia kwamba kwake ni haramu?
Samaki ama wamasai wanamuita singiri siku hizi wamasai wanawapika tena wanawaunga kwa nazi kabisa.Hajui hata samaki ni haramu kwa wamasai au ng'ombe ni haramu kwa wa Hindu? Watu waendelee tu kukomaa na tamaduni za watu
Hao Durock unawajuaje kiongozi??Kweli uko serious mkuu,
Nilifuatilia wiki hii nimevunjwa moyo inaonekana jamaa amewauza anadai nisubiri wapo wengine wanye mimba,wapo wengine ambao nataka nikawaone,japo sijawapenda kwakua wazazi wao ni aina moja ie baba kambo na mama kambo.
Mbegu nzuri inapendeza ikichanganywa na durock kwani durock anakua haraka sana na ananyama nyingi.
Nitakapowaona kama watakuwa wazuri nitakujulisha.