hunchback
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 658
- 289
Nimekuwa nikifuatilia kipindi cha malumbano ya hoja kwa muda mrefu sasa. Toka Ufoo Saro awe miongoni mwa waongozaji kipindi kimepwaya.
Mtangazaji huyu amekuwa akiingilia au kukatisha hoja za watu pasipo kuwa na sababu za msingi. Kuna wakati anaonekana ni mwenye jazba sana.
Ushauri wangu: Ufoo ajitahidi kudhibiti hisia au kuondoa uoga ili kipindi kiwe na mantiki nzuri zaidi na kivutie badala ya kupoteza watazamaji.