ufitini

mapesi masami

New Member
Feb 2, 2010
1
0
mke wangu hapatani na wifi yake nifanyeje ili wapatane?kisa mke wangu alibananishwa na baba ikabidi aseme ukweli kuhusu alichokifanya wifi yake.
nisaidieni.
 
marahaba kijana... ongea na mmoja mmoja(mkeo, dada na baba).. afu waweke kitimoto wote na kikako kisiishe hadi mwafaka upatikane!! japo nahisi mkeo alisalimu amri kwa sababu kabanwa na mkwewe....!!
 
asante baba enock..................so wifi alikuwa na kisiri chake , mke wa jamaa akakisema kwa bamkwe au?
 
asante baba enock..................so wifi alikuwa na kisiri chake , mke wa jamaa akakisema kwa bamkwe au?

pole sana Dada/Kaka Gaijin

naona unajitahidi sana kuelewa hili ushauri, lakini ndio hivyo, mtu anaomba ushauri bila kuweka detailz nz kisha anaingia mitini
 
ndugu mapesi karibu sana JF tunakuomba uandike topiki yako kwa urefu ili upate kusaidiwa mawazo

Funzadume
Mkuu wa dawati la ufundi-JF
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom