watu wengi hawaipendi chadema kwa kuwa wanazidi kinyonga tabia. badala ya kuiita chadema tuiite chadomo party.
hatuwezi kuwa na chama ambacho kina double standards.
1. kudai kupambana na ufisadi lakini wanafanya kinyume chake.
ushahidi: halmashauri ya karatu imefanya ufisadi wa kutisha, wabunge akiwemo mwenyekiti wanachukua posho ambapo chama kiliazimia kuacha kuchukua posho ila kupunguza matumizi, kujikopesha fedha za chama ovyo, kiongozi kambi ya upinzani kwenda kisiri na kinyemela na kuchukua shangingi alilolikatia kabla.
2. kusema hawawezi kuunda kambi ya upinzani na ccm B na kukataa ushauri wa spika halafu ghafla wameunda ukawa.
3 kumbania David Kafulila na kudai afai kuwa kiongozi, ghafla tena wanamkubali kuwa waziri kivuli wa kambi rasmi ya upinzani.
kukipa chama madaraka ambacho hakina msimamo kwa kile inachokisimamia ni hatari kubwa.
Leo wanasema hiki kesho wanageuka wanasema vingine.
Cuf = waliberali, chama cha ushoga,CCM B
NCCR= pandikizi la ccm, collaborator wa Tiss, wasaliti
Leo Cuf,Nccr= makamanda, wapambanaji,ukawa.
SHAME!!!!!
Bawacha mnamatusi kama nini du!Nafikir umeliwa bila ya kuoga ndo maana nasikia harufu mbaya huku jf, umekurupuka kwa fumaniz la kutoka na mme wa mtu pole yako indelea kujidanganya na kujifariji, nafikir uliona kwenye chaguz ndogo za serikal za mitaa, saaa cjui Chadema inakufa au inakua, mtasubir sana Chadema kufa mlisema 2014 itakufa sasa imekufa?
Mnatapatapa kwa kujua otc Ukawa inachukua Nchi.
watu wengi hawaipendi chadema kwa kuwa wanazidi kinyonga tabia. badala ya kuiita chadema tuiite chadomo party.
hatuwezi kuwa na chama ambacho kina double standards.
1. kudai kupambana na ufisadi lakini wanafanya kinyume chake.
ushahidi: halmashauri ya karatu imefanya ufisadi wa kutisha, wabunge akiwemo mwenyekiti wanachukua posho ambapo chama kiliazimia kuacha kuchukua posho ila kupunguza matumizi, kujikopesha fedha za chama ovyo, kiongozi kambi ya upinzani kwenda kisiri na kinyemela na kuchukua shangingi alilolikatia kabla.
2. kusema hawawezi kuunda kambi ya upinzani na ccm B na kukataa ushauri wa spika halafu ghafla wameunda ukawa.
3 kumbania David Kafulila na kudai afai kuwa kiongozi, ghafla tena wanamkubali kuwa waziri kivuli wa kambi rasmi ya upinzani.
kukipa chama madaraka ambacho hakina msimamo kwa kile inachokisimamia ni hatari kubwa.
Leo wanasema hiki kesho wanageuka wanasema vingine.
Cuf = waliberali, chama cha ushoga,CCM B
NCCR= pandikizi la ccm, collaborator wa Tiss, wasaliti
Leo Cuf,Nccr= makamanda, wapambanaji,ukawa.
SHAME!!!!!
jilani= jirani. unataka kila MTU ajue we mzaramo uliekimbia shule

kama maji vile
Ungekuwa na shule ya kutosha usingeandika ulichaindika...kwenye taaluma ya lugha kuna athali zitokanazo na asili ya mtu na lugha yake ya kwanza...
Hata kama atakuwa amekwenda shule, masalia yanakuwepo...kwenye jamii zetu za kibantu kuna jamii hazina R au L, S au Z, S au TH...
Kwa maana hiyo unapomrekebisha mtu epuka kukimbilia kwamba hakwenda shule...form 4 yako isikufanye ujione umemaliza shule...
Tafakari...
chadema mpango wa shetani japo ni ukweli mchungu.
Watu wengi hawaipendi chadema kwa kuwa wanazidi kinyonga tabia. badala ya kuiita CHADEMA tuiite chadomo party.
Hatuwezi kuwa na chama ambacho kina double standards.
1. Kudai kupambana na ufisadi lakini wanafanya kinyume chake.
ushahidi: halmashauri ya karatu imefanya ufisadi wa kutisha, wabunge akiwemo mwenyekiti wanachukua posho ambapo chama kiliazimia kuacha kuchukua posho ila kupunguza matumizi, kujikopesha fedha za chama ovyo, kiongozi kambi ya upinzani kwenda kisiri na kinyemela na kuchukua shangingi alilolikatia kabla.
2. Kusema hawawezi kuunda kambi ya upinzani na ccm B na kukataa ushauri wa spika halafu ghafla wameunda ukawa.
3 Kumbania David Kafulila na kudai afai kuwa kiongozi, ghafla tena wanamkubali kuwa waziri kivuli wa kambi rasmi ya upinzani.
Kukipa chama madaraka ambacho hakina msimamo kwa kile inachokisimamia ni hatari kubwa.
Leo wanasema hiki kesho wanageuka wanasema vingine.
CUF = waliberali, chama cha ushoga,CCM B