Ufisadi waikumba (tena mkubwa) ATCL | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi waikumba (tena mkubwa) ATCL

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 1, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,158
  Likes Received: 5,589
  Trophy Points: 280
  --YABAINIKA VIGOGO NDIO CHANZO
  --WAGAWANA MIKOPOKINYEMELA
  MHANDISI ADAIWA KUWEKA MAKAZI NJE YA NCHI KUSIMAMIA NDEGE ISIYO YA SHIRIKA

  Siku chache baada ya hazina kupenekeza shirika la atcl livunjwe liundwe upya imebainika mlolongo wa sababu za matukio ambayo yamesababisha hatua ifikie hapo ilipo...likiwemo viongozi kuendelea kugaina pesa za kampuni......huku jahazi likizama

  Uchunguzi uliofanyika na gazeti la mzalendo umeonyeshaudhaifu wa uongozi ndio umesababisha shirika kufika hapo lilipo taabani siku zinavyokwenda
  inasemekana matumizi yasiozingatia ma halihalisi ya uwezo wa wa shirika yamekuwa yakisababisha matatizo ya uendeshaji kiasi cha shirika kubaki na ndege moja mahututi badala ya tano za awali

  Chanzo cha habari cha kuaminika ndani ya atcl kimeliambia gazeti kutokana na hali mbaya ya fedha wiki iliopita ndege moja iliobai ililazimika kusimamisha shuguli zake kwa muda wa wiki moja baada ya kioo cha mbele kinachotumiwa na ruban kupasuka

  kwa mujibu wa chanzo ndege hiyo ya kubeba abiria 50 ililaxzimika kusimamisha shuguli zake na kuligarimu kampuni hasara zaidi ya milion 40 kulaza na kuwalipa fedha za malazi abiria waliokuwa wasafiri na ndege hiyo mpaka siku ilipotengemaa.habari za uzuni zinasema ndege hiyo ilishindwa kuendelea kuruka kutokana na karakana za shirika hilo kukosa hata kioo cha ziada...ambapo ililazimu kuagizwa toka nje ya nchi....

  HABARI ZA ZA UFISADI ZAIDI ZINASEMA MARUBANI WAWILI TOKA BANGALADESH WAMEKODISHWA BILA KUZINGATIA UWEZO WA UENDESHAJI NAKULAZIMISHA KUWALIPA DOLA 7000 ZAIDI YA MILIION TISA KWA MWEZI

  PAMOJA NA MALIPO HAYO INASEMEKANA PESA HIZO HUWA AWALIPWI ZOTE KUNA WATU WALIOSHIRIKI KUWAPATA HUKO WALIPO HUWA WANAKATIWA KIASI CHA FEDHA KWA MWEZI MPAKA RUBANI HUSIKA ANAPOONDOKA...HUU NI UCAHFU UNAOPASWA KUSAFISHWA VINGINEVYO TUSISHANGAE KUSIKIA SHIRIKA LIKO ICU

  HABARI ZAIDI ZINASEMA WACHA KUWLAIPA PESA ZOTE HIZO MARUBANI HAO HUUDUMIWA USAFIRI CHAKULA MALAZI..NA POSHO NYINGENEZO AMBAZO AZIKUWEKWA WAZI PIA HUGARAMIWA WANAPOENDA BANGALADESH KWENDA KURENEW VYETI VYAO VYA URUKAJI NA KAMPUNI...ATC IMEKUWA RADHI KULIPIA GARAMA NYINGI KWA MARUBANI WA NJE HILI HALI YAKE IKO HOI KUFA MUDA WOWOTE...HUKU IKITEGEMEA ZAIDI YA ASILIMIA 80 KUTOKA SERIKALINI

  HABARI ZAIDI ZINASEMA SHIRIKA HILO LIMEENDELEA KUPATA HASARA YA WAKA PALE MARUBANI WA NDEGE ZA BOEING WALIOKADIRIWA KUFIKIA 40 WANAPOLIPWA MILLION 7 KWA MWEZI HUKU WAMEKAA NYUMBANI ZAIDI YA MIEZI MIWILI SASA,,..HABARI ZINASEMA SH MILLION 7 *24=168million kwa mtu mmoja alie NYUMBANI *40 SAWA NA 6,720,000,000 KWA MIAKA 2 hiyo ni kwa marubani...

  MKATABA MWINGINE UNAOITAFUNA ATCL NI ULE WA airbus NDEGE HIYO INASEMEKANA WAKATI IKIONDOKA HAPA ILIONDOKA NA MHANDISI AMABAE HATA BAADA YA SERIKALI KUAMUA KUTOITUMIA TENA NDEGE HIYO MHANDISI HUYO AKISHIRIKIANA NA MMOJA WA VIONGOZI ALIENDELE KUKAA HUKO AKIJIDAI KWENYE MATENGENEZO KWA NDEGE AMBAYO HATUTOITUMMIA TENA..HABARI ZAIDI ZINASEMA KUMEKUWA NA MCHEZO WA KUPELEKANA NJE HUKU BAADHI YA WANAOIDHINISHA SAFARI WAKIJIPATIA BAADHI YA FEDHA KUTOKA KWA WAHUSIKA...JAMBO HILI NI KASHFA KUBWA KWA VIONGOZI WA ATCL..TUMEKUWA TUKIPIGA KELELE SANA YULE BWANA ANAPELEKEWA PESA YAKE KILA MWEZI ANAFANYA NINI KULE WAKATI NDGE HATUITUMII TENA ALIULIZA MMOJA WA WAFANYAKAZI...MHANDISI HUYO AMEKAA ZAIDI YA MIESI SITA BILA KAZI HUKU AKILIPWA MAMILION YA DOLA NA KULAZIMSHWA HAZINA KUPELEKEWA HARAKA SANA HUKO ALIKO...KAMA SI MATUMIZI MABAY YA FEDHA NI NINI JAMANI???

  MWANZONI MWA WIKI MHANDISI WA HAZINA G MSELA ALISEMA SHIRIKA HILO NI BOMBA LA KUCHOTEA PESA HAZINA LINAITAJI KUFUNGWA NA KUANZISHWA UPYA..HILI SHIRIKA ,ZIGO ALISAIDII COCHOTE ZAIDI YA HASARA ALISEMA MZEE HUYU KWA HUZUNI NI MZIGO USIOBEBEKA KABISA...MSAJILI HUYU ALIKUWA AKIZUNGUMZA NA KAMATI YA WABUNGE YA UCHUMI NA FEDHA KILA MWAKA SERIKALI IMELITENGEA MAMILION YA FEDHA ALIBEBEKI KUNA HAJA GANI YA KUENDELEA NALO TUSILIUE..BALI TUANZISHE KITU KIPYA KAMA NIC KILA MMOJA AMEONA WALIPO HIVI SASA...KUTOKANA NA HILO MWENYEKITI WA KAMATI DK KIGODA ALIOMBA MH WAZIRI KUNAHITAJIKA UAMUZI WA HARAKA SANA KUHUSU SHIRIKA HILI ILI IUNDWE UPYA LIWE KAMA MASHIRIKA MENGINE YA KIMATAIFA YA ANGA....

  TUNAITAJI KUIONA ATC IKWEPO ANGANI NA SI POROJO ZA WAZIRI MH DK KAWAMBWA KILA SIKU MAJADILIANO MAJADILAINO YASIYO NA TIJA HUYU BWANA NI MSANI HATA WIZARANI MWAKE ANAJULIKANA KWA MANENO MENGI BILA MATENDO SIJUI NANI ANAMLINDA NDIO MAANA MH NYANGANYI AKUSITA KUMTUSI MBELE YA KAMATI KWA KUMWAMBIA ALIKUWAWAPI AKIPIGA KELE MENEJIMENT MBOFU WEZI WAKATI YEYE KAMA WAZIRI ANA MAMLAKA YA KUTOA MAONI KWA RAIS......

  USANII BILA VITENDO ATUFIKI
   
 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Unategemea nini menejimenti ifanye wakati hakuna bidi ya kuthibiti utendaji wao? Bodi ya ATCL ilisha maliza muda wake sasa Kawambwa anatakiwa aunde bodi ambayo ana imani nayo ili iinasue hiyo kampuni!! Huyu ni kati ya mawaziri BOMU.
   
Loading...