johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 1,252
- 1,744
Hao wote ni CHADEMA?Halmashauri kuna viongozi mafisadi ,wala rushwa,wazembe,wachawi ,Miungu watu,majeuri,kiburi na wanaofanya kazi kwa mazoea na kulindana sana katika maovu wanayofanya. Pesa za wananchi zinafanyiwa mchezo sana huku chini .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo akili umetoa wapiii?Halmashauri kuna viongozi mafisadi ,wala rushwa,wazembe,wachawi ,Miungu watu,majeuri,kiburi na wanaofanya kazi kwa mazoea na kulindana sana katika maovu wanayofanya. Pesa za wananchi zinafanyiwa mchezo sana huku chini .
π³π²π²π³π²π³π²π²π³π²π³π²π²π²π³Halmashauri kuna viongozi mafisadi ,wala rushwa,wazembe,wachawi ,Miungu watu,majeuri,kiburi na wanaofanya kazi kwa mazoea na kulindana sana katika maovu wanayofanya. Pesa za wananchi zinafanyiwa mchezo sana huku chini .
Mimi akili yangu ipo sawa siku zote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo akili umetoa wapiii?
Lakini kumbuka kule juu hiyo milioni 500 inaweza ikapigwa na mtu mmoja au wawili tu.Lakini huko kwenye Halmashauri wahusika ni wengi.Halmashauri kuna viongozi mafisadi ,wala rushwa,wazembe,wachawi ,Miungu watu,majeuri,kiburi na wanaofanya kazi kwa mazoea na kulindana sana katika maovu wanayofanya. Pesa za wananchi zinafanyiwa mchezo sana huku chini .
taarrifa zinasema DED baada ya kupewa taarifa za ziara hiyo alipanga safari na kuondoka, hivyo hakuhudhuria hata kikao chha barazza la mwdiwani kilkchofanyika ijumaa iliyyopita.Lakini kumbuka kule juu hiyo milioni 500 inaweza ikapigwa na mtu mmoja au wawili tu.Lakini huko kwenye Halmashauri wahusika ni wengi.
Nashangaa watu wanaoumia pesa ya serikali ikitumiwa na watumishi waketaarrifa zinasema DED baada ya kupewa taarifa za ziara hiyo alipanga safari na kuondoka, hivyo hakuhudhuria hata kikao chha barazza la mwdiwani kilkchofanyika ijumaa iliyyopita.
DED kimilike amewazuia watendaji wake kuambatana na DC ambaye amewaweka mahabusu mara kadhaa baadhi ya watumishi ikiwa ni pamoja na mhandisi wa ujenzi wa wilaya.