Ufisadi wa Mh Heche, Ester Matiko na Nyaswi Tarime

Tulime

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
248
Reaction score
104
UFISADI WA WABUNGE HECHE, MATIKO NA MWENYEKITI NYANSWI TARIME.

Public procurement act ya mwaka 2004 na marekebisho yake ya mwaka 2011 imetaja vizuri sana nafasi ya madiwani wa halmashauri katika mchakato wa Zabuni za halmashauri...

Sheria imetamka.., Kuweka mfumo katika Kanuni za Sheria ya Ununuzi wa Umma za Serikali za Mitaa utakaowezesha Madiwani kusimamia masuala ya ununuzi katika Halmashauri kupitia Kamati ya Fedha na Mipango ili kudhibiti wizi wa fedha za umma katika halmashauri...

Hivyo madiwani ni sehemu ya kamati ya fedha na mipango.., siyo wenye kuhusika na ugawanaji wa rasilimali na miradi ya halmashauri....

Katika hali inayoonyrsha ni kwa jinsi gani wabunge na mwenyekiti wa Halmashauri wasivyojali maslahi ya wananchi wa tarime, wamegawana vibanda vya biashara katika mji wa tarime, Mh Ester Matiko aliwapa wananchi tv ya tsh 200000/ Lakini amejichukulia vibanda 50 vya biashara.

Mh Heche amejichukulia vibanda 30 na kuwagawia ndugu zake ambao hawapo Mjini tarime na hawajui hata taratibu za kupata vibanda ulivyokuwa ila tayari wana vibanda.

Ni vipi Mwananchi wa kawaida anaweza kushinda zabuni yake akiwa anapambana na diwani au mtu kutoka halmashauri!!??

Kamati ya ugawaji wa vibanda hivyo ilikuwa na wafuatao.

Mama Tekla.
Zakayo wangwe na
Kasuku

Madiwani wamegawa vibanda kwa marafiki zao.. Kwa ndugu zao na jamaa zao..

Wananchi wa kawaida hawajapewa nafasi hiyo... Majina yaliyopo ni majina ya watu mashuhuri Tarime, majina ya watu wa kawaida, wa hali ya chini hawapo..

Watu wenye fedha na ndugu wenye madiwanindiyo wamenufaika na mradi huu, mfano Bob Chacha wangwe amepata ila hajui hali kadhalika utaratibu ulikuwa vipi ila kwa sababu Zakayo wangwe ndiye mwenyekiti wa kugawa akatumia nafasi hiyo kupata kibanda.

Kulikuwa na kujaza fomu na kwenda kulipia bank na kupeleka slip halmashauri ya mji na pia kupeleka nakala ya kitambulisho. Lakini waliopata hawakujua hata utaratibu huo ila kwa sasa ni wanufaika.

Salamu zetu kama wana Tarime ni kuwa hatutakubari kushika UKUTA wakati fursa za kunufaika na rasilimali za halmshauri wanagawana wenye nafasi zao
 
Waliaminika zamani sahivi ni wapiga kama kawa
 
Duhh, kama ni kweli ungeweka orodha ya wenye hivyo vibanda vile vile ukaonesha unasaba wa kila kibanda na hao wanaotuhumiwa ili jukwaa lipate kuelewa usahihi wa hizi tuhuma.
 
UFISADI WA WABUNGE HECHE, MATIKO NA MWENYEKITI NYANSWI TARIME.

Public procurement act ya mwaka 2004 na marekebisho yake ya mwaka 2011 imetaja vizuri sana nafasi ya madiwani wa halmashauri katika mchakato wa Zabuni za halmashauri...

Sheria imetamka.., Kuweka mfumo katika Kanuni za Sheria ya Ununuzi wa Umma za Serikali za Mitaa utakaowezesha Madiwani kusimamia masuala ya ununuzi katika Halmashauri kupitia Kamati ya Fedha na Mipango ili kudhibiti wizi wa fedha za umma katika halmashauri...

Hivyo madiwani ni sehemu ya kamati ya fedha na mipango.., siyo wenye kuhusika na ugawanaji wa rasilimali na miradi ya halmashauri....

Katika hali inayoonyrsha ni kwa jinsi gani wabunge na mwenyekiti wa Halmashauri wasivyojali maslahi ya wananchi wa tarime, wamegawana vibanda vya biashara katika mji wa tarime, Mh Ester Matiko aliwapa wananchi tv ya tsh 200000/ Lakini amejichukulia vibanda 50 vya biashara.

Mh Heche amejichukulia vibanda 30 na kuwagawia ndugu zake ambao hawapo Mjini tarime na hawajui hata taratibu za kupata vibanda ulivyokuwa ila tayari wana vibanda.

Ni vipi Mwananchi wa kawaida anaweza kushinda zabuni yake akiwa anapambana na diwani au mtu kutoka halmashauri!!??

Kamati ya ugawaji wa vibanda hivyo ilikuwa na wafuatao.

Mama Tekla.
Zakayo wangwe na
Kasuku

Madiwani wamegawa vibanda kwa marafiki zao.. Kwa ndugu zao na jamaa zao..

Wananchi wa kawaida hawajapewa nafasi hiyo... Majina yaliyopo ni majina ya watu mashuhuri Tarime, majina ya watu wa kawaida, wa hali ya chini hawapo..

Watu wenye fedha na ndugu wenye madiwanindiyo wamenufaika na mradi huu, mfano Bob Chacha wangwe amepata ila hajui hali kadhalika utaratibu ulikuwa vipi ila kwa sababu Zakayo wangwe ndiye mwenyekiti wa kugawa akatumia nafasi hiyo kupata kibanda.

Kulikuwa na kujaza fomu na kwenda kulipia bank na kupeleka slip halmashauri ya mji na pia kupeleka nakala ya kitambulisho. Lakini waliopata hawakujua hata utaratibu huo ila kwa sasa ni wanufaika.

Salamu zetu kama wana Tarime ni kuwa hatutakubari kushika UKUTA wakati fursa za kunufaika na rasilimali za halmshauri wanagawana wenye nafasi zao
Yaani umezunguka maelezo kbao kumbe point ilikuwa hutaki kushiriki ukuta?...kweli akili ikizidiwa na njaa mtu anakuwa Kama hivi,, poleni Sana
 
Uzi umeandikwa kutaka huruma ya wanajamvi na udaku mwingi sana hauna relevant information ambazo zitatupa hata sisi makada tuweze kubana hao wapinzani wetu wa UKAWA..jieleze tena weka taarifa zilizo sahihi ondoa minong'ono uliyosimuliwa na hapo unaowaita Wanatirime ili tuwabane hapa hawa wawakilishi bila huruma.

Haya Tulime jieleze kitaalam tunasubiria
 
Acha kuwafitini wenzako, mbona matrafiki wameambiwa wale buku tano ya kusafishia viatu.
Ndugu yangu hayo ya Lugumi yeshamalizwa na kamati ya bunge na ni mambo ya usalama wa Polisi kama ile ya Uniform haitakiwi kuadiliwa ama kuingiliwa na wanasiasa. Tutahatarisha usalama wa Raia. Serikali tunawabana Mafisadi tu wafanyakazi wa umma wafanyabiashara raia wasiowaaminifu kwetu sisi..nk
 
UFISADI WA WABUNGE HECHE, MATIKO NA MWENYEKITI NYANSWI TARIME.

Public procurement act ya mwaka 2004 na marekebisho yake ya mwaka 2011 imetaja vizuri sana nafasi ya madiwani wa halmashauri katika mchakato wa Zabuni za halmashauri...

Sheria imetamka.., Kuweka mfumo katika Kanuni za Sheria ya Ununuzi wa Umma za Serikali za Mitaa utakaowezesha Madiwani kusimamia masuala ya ununuzi katika Halmashauri kupitia Kamati ya Fedha na Mipango ili kudhibiti wizi wa fedha za umma katika halmashauri...

Hivyo madiwani ni sehemu ya kamati ya fedha na mipango.., siyo wenye kuhusika na ugawanaji wa rasilimali na miradi ya halmashauri....

Katika hali inayoonyrsha ni kwa jinsi gani wabunge na mwenyekiti wa Halmashauri wasivyojali maslahi ya wananchi wa tarime, wamegawana vibanda vya biashara katika mji wa tarime, Mh Ester Matiko aliwapa wananchi tv ya tsh 200000/ Lakini amejichukulia vibanda 50 vya biashara.

Mh Heche amejichukulia vibanda 30 na kuwagawia ndugu zake ambao hawapo Mjini tarime na hawajui hata taratibu za kupata vibanda ulivyokuwa ila tayari wana vibanda.

Ni vipi Mwananchi wa kawaida anaweza kushinda zabuni yake akiwa anapambana na diwani au mtu kutoka halmashauri!!??

Kamati ya ugawaji wa vibanda hivyo ilikuwa na wafuatao.

Mama Tekla.
Zakayo wangwe na
Kasuku

Madiwani wamegawa vibanda kwa marafiki zao.. Kwa ndugu zao na jamaa zao..

Wananchi wa kawaida hawajapewa nafasi hiyo... Majina yaliyopo ni majina ya watu mashuhuri Tarime, majina ya watu wa kawaida, wa hali ya chini hawapo..

Watu wenye fedha na ndugu wenye madiwanindiyo wamenufaika na mradi huu, mfano Bob Chacha wangwe amepata ila hajui hali kadhalika utaratibu ulikuwa vipi ila kwa sababu Zakayo wangwe ndiye mwenyekiti wa kugawa akatumia nafasi hiyo kupata kibanda.

Kulikuwa na kujaza fomu na kwenda kulipia bank na kupeleka slip halmashauri ya mji na pia kupeleka nakala ya kitambulisho. Lakini waliopata hawakujua hata utaratibu huo ila kwa sasa ni wanufaika.

Salamu zetu kama wana Tarime ni kuwa hatutakubari kushika UKUTA wakati fursa za kunufaika na rasilimali za halmshauri wanagawana wenye nafasi zao
Mkuu povu lote la nini? Kama una ushahidi si upeleke mahakamani?
 
Binafsi nipo Tarime Mjini,mtoa mada ametoa unafiki mkubwa na uongo mkubwa,ni vibanda vp ambavyo hao watu wamevigawa,mjini hapa kuna vibanda maeneo yafuatayo,stand na rebu soko,pia na kule gamasara ambapo bado ujenzi.pia heche anaingiaje halmashauri ya mji Tarime ili hali yeye yupo halmashauri ya tarime vijijini?
huu ni uongo na umbea yapasa kupuuza,penye ukwel tuwe wakweli wabunge wetu JOHN HECHE na ESTHER MATIKO tunawaunga mkono.
 
Naona Umemsahau Nyaswi yy kafanya nn wakati kwenye heading umemtaja.
 
Hizi tuhuma za ufisadi zimeibuliwa jana baada ya ile Mikutano mikubwa waliofanya et??
 
Hivi kumbe majina ya maombi ya vibanda yametoka, nilikuwa sijui ngoja nikaangalie jina langu
 
Kwani hao walio pewa hivyo vibanda pia si ni wananchi wa tarime na ni watu wa hali ya chini. Ungesema Zakaria na gachuma ndo wame vichukua ni ngekuelewa. Tofauti na hapo ni majungu
 
Hivi Heche si ni Mbunge wa Tarime Vijijini?Hiyo Tarime Mjini na Vijijini ni Halmashauri moja?
 
Back
Top Bottom