Ufisadi wa kutisha waitikisa udom!!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi wa kutisha waitikisa udom!!.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MCHUMIPESA, Jun 17, 2012.

 1. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni baada ya kutafuna fedha za ada za wanafunzi(wanachuo) wanazolipiwa na bodi ya mkopo ya elimu ya juu ikishirikiana na benki fulani hapa nchini. source.Gazeti la leo la NIPASHE UKURASA WA 4
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kuna wanafunzi walifukuzwa kisa walienda kuuliza uongozi uwa wanalipiwa bei gaani na tcu maana walikuwa wanapewa pesa tu bila kuambiwa imebaki kiasi gani...
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hii ndio tanzania,ikulu wamejaa vibaka manzese wanawakamata!
   
 4. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Muulizeni jk ndiye mdhamini wa chuo ila sidhani kama mtapata taarifa zote maana si mnajua ni tawi la mafisadi?
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  tatizo hamna umoja
   
 6. m

  mwamola Senior Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa waziri mulugo ameahidi kufuatilia suala hili, lakini pia kumbuka mh waziri kumekuwa na taarifa kuwa wizara yako, fedha na utumishi mmezuia ama kuchelewesha maslahi (salary arreas) ya wahadhari ambao kwa nyaati tofauti hasa kuanzia 2010 walikuwapromoted katika ngazi mbalimbali na walikuwa wakilipwa mshahara wao wa zamani kwa miezi 13 walipokija kulipwa decemba 2011 walilipw daraja moja chini na sasa wanaeleka julai 2012 ambayo wanapaswa kuwa kuwa ngazi ya tatu ya mshahara wao wakati ya pili hawajalipwa kwa maelezo kuwa wizara yako na hazina wange adjust scales hizo chakusikitsha hadi leo wanalipwa chini ya stahiki zao. Je, wanafanya kazi ya wito ama wanakopeshwa na watalipwa ofisi hizo zitzkapoona inafaa?
   
 7. B

  Bob G JF Bronze Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ufisadi kila mahali yawezekana nia ni kukomba kila kitu. CHUKUA CHAKO MAPEMA (ccm)
   
 8. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Chuo kikubwa bhana sio ufisadi ha ha ha
   
 9. m

  mkereketwamkereketwa Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahhhhhhhhhhhhhhhhh UDOM inaharibiwa na UDINI, wafanyajikazi wana wa frustrate wanabaki na VILAZA...
   
 10. buhange

  buhange JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Udini udini udin, Udom balaaaa, heeee
  "Asalam..alek, ndo kila kitu pale, ukinda interview na jamii ya people hao wakati ww ni upande wa "Amen" umeuumia
   
Loading...