Ufisadi wa CCM katika Picha

Ufisadi wa CCM katika Picha

Mtaishinda CCM kwa keyboard warriors?Nyie jiridhisheni kwenye mitandao halafu mkiburuzwa mnadai mmeibiwa kura.
 
Mtaishinda CCM kwa keyboard warriors?Nyie jiridhisheni kwenye mitandao halafu mkiburuzwa mnadai mmeibiwa kura.
Ushindi wenu ni kupitia akina Jecha,Mafweza,nec,Wazee wa PGO na wakurugenzi wa simamizi chafuzi,bila hao Chali,huenda ndio mngekuwa wakukosa sifa Kwa kushindwa kujaza fomu Kwa usahihi.
 
Back
Top Bottom