Ufisadi vs umasikini kipi kimemzaa mwenzake???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi vs umasikini kipi kimemzaa mwenzake????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by charger, Mar 13, 2011.

 1. charger

  charger JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Habari wa kuu,naamini weekend yenu inaenda vizuri na mnaedelea kufurahia maisha kama mlivopangiwa na wajanja.

  Tumekuwa tukilalamika sana kuhusu masuala haya,"ufisadi" na "umasikini" naomba kuleta hoja kumtafuta ni nani mzazi na nani mtoto hapa?

  Nawasilisha kwa yeyote atakaye husika.
   
Loading...