Ukifuata Katiba na Mahakama zikiwa huru hakutakiwa na ufisadi.Hivyo ni bora kuwa na Katiba nankuifuata na Mahakama ziwe huruNaulizia kipi bora kuliko kingine,kuwapo Ufisadi nchini au Kutokuwa na Mahakama huru au Kuvunjwa katiba?
Katiba ipi?Naulizia kipi bora kuliko kingine,kuwapo Ufisadi nchini au Kutokuwa na Mahakama huru au Kuvunjwa katiba?
ufisadi mbona umekwisha tuliambiwa mahakama imeishiwa wateja wa ufisadi kwahiyo kinachofuata labda katiba.