Ufisadi ushuru wa forodha siri nzito


Asante sana Zak kwani nilikuwa nahamu sana kujua kesi ile iliishaje, kumbe ni vilevile anyway mungu yu nasi..
 
Jamani hii ndio Tanzania, lakini wajue Watanzania wamekuwa waelewa sana na hakuna wa kumdanganya tena kama alivyiowahi kusema Mwakyembe, "si mabwege tena."
 

Ni vizuri kukaa kimya na ukawaacha watu wakibashiri uelewa na hekima yako kuliko kulopoka na watu wakajua jinsi usivyo na hekima... udini unaingiaje hapa?? Jibu hoja kwa hoja. Period
 
nimetafuta mpaka basi nafikira kulitafuta tandale huku mjini yameisha mpwa
au ndio mmeyamaliza tusipate jamani

Mimi nimelisoma kwenye mtandoa, sanasana utakosa matangazo lakini habari muhimu zote utaziona..
 
Habari ndiyo hiyo, mimi siku zote nasisitiza let's unite against foreigners. Lazima tuwamalize, tuwakate vichwa na hata hata wale wanaoshirikiana nao, kwanza isyo ndugu zetu na hatuka uhusiano nao! Kuliko kuuana sisi, acha tuwamalize tuwanyang'anye kila kitu au wafe waviache. Bora wote tukose!
 
Athari za Madrasa ni kubwa sana kuliko unavyoweza kufikiri!

Masanilo kama una mchango against mchangiaji weka..kuliko kusema vitu ambavyo vitafanya wengine waingie ktk majibizano yasiyo na ulazima na wewe....nimepitia post zako nyingi sana...na Hii kauli umekuwa ukiirudia mara kwa mara....

Wewe endelea na chuki zako lkn ujue wao wanaofuatilia Madrasa wanamjua M/Mungu vema kuliko wewe!!!
 
Ufisadi unatakiwa kuwekwa wazi...Lazima tuweke FACTS...!!!

Mwandishi kaweka neno "Waarabu" kuvuta attentions za watu..lkn pia ku-instigate..lkn pia Wachangiaji wengine washaanza sem wageni watolewe/wadhibitiwe...!!! wanaseme eti wafanyabiashara hao wana asili ya Saudia....is it?

halafu gazeti Moto...kumbe hajalisoma...? Hivi Kujua moto ni kwa vichwa vya habari?....!!!

Gazeti liweke Facts mbele...na si Majungu...!!! hapo hakuna facts yoyote hadi sasa. Tunahitaji Gazeti liweke facts hizo ili tuzijadili...!!!

Waarabu Kariakoo ni ASILI yao...!!! msipotoshe..!!! lkn kwasasa Labda watu wa Ardhi watupe data ni watu Gani wenye asili gani ndio wenye magorofa mengi hapo Kariakoo...!! Unaweza kuta si waarabu.
 
TAX EVADERS wakubwa Wanajulikana...na Serikali ilipotaka kuzidhibiti mkaja kuwatetea...!!! na hilo RAIA hawawezi kulisema...!!!
 
TAX EVADERS wakubwa Wanajulikana...na Serikali ilipotaka kuzidhibiti mkaja kuwatetea...!!! na hilo RAIA hawawezi kulisema...!!!

Kwa faida ya wote hebu tujuze basi hao wakwepa kodi wakubwa wanaojulikana, ehh na uweke facts sio kuleta habari za kusadikika.
 
[I said:
Mzee Mwanakijiji;946445]Calipso.. yaani kuanzisha mada nimekuwa mdini? Hivi nimetoa maoni yoyote hapa kuhusu kilichomo kwenye hilo gazeti wakati hata kulisoma sijalisoma!! Au nikiona habari ina jina la mtu anayedhaniwa ni muislamu niikimbie..?
[/I]

M/Mwanakijiji,ulivoleta mada jamvini, ulikosea maneno uliyotamka cz sio kawaida yako,bt ktk hili umerukia laiti ningekua dar leo usingelikosa gazeti la leo,th way ulivofikisha siyo vile tulivozowea,unaleta points then tunadiscus, then hata gazeti kulisoma ulikuwa hujalisoma,unaongea maneno ambayo ulikuwa huna hakika,sasa mayb ulikuwa hujui in your heart kuna sum thing,lkn kimejitokeza bila ya wewe kujua,and nw u can jst ask your self ilikuwaje, nafasi ya kujirekebisha unayo bado..
 

Na aepushie mbali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…