Vmatongo
Senior Member
- Dec 8, 2021
- 158
- 240
David Kafulila aliwahi kusema wakati ule wa Magufuli kwamba agenda ya kupambana na ufisadi imehama, kwa maana kwamba imetoka Chadema na kwenda CCM. Kwa sasa nadhani na huko imeshahama! haipo tena. kwa sasa hii agenda haipo wala haina watu wanaoisimamia. Inawezekana kuna mambo yametokea
La kwanza inawezekana ufisadi serikalini haupo tena.
La pili inawezekana upinzani umeisha hasa baada ya kukosa watu wenye uchungu na uzalendo wa kweli kama akina Wilbroad Slaa na David Kafulila.
La tatu inawezekana Rais wa nchi hapendi mambo hayo. Ya ufisadi ufisadi.
Sasa hivi kuzungumzia ufisadi na uwizi serikalini kunataka ujasiri watu wengi wanaona wakipata nafasi bora na wao wawe wapigaji tu.
Wananchi ndio wanaoumia bidhaa zinapanda bei, shule hazieleweki watu wote sasa tupo kwenye nyimbo za mapambio!
Sasa hivi hii agenda ya ufisadi haijahama isipokuwa imepotea!
Waziri Mkuu endelea kupambana na uwizi huo mdogo mdogo angalau tunakusikia hata kwa mbali.!!