Mindhali tushaamua kutaja na majina then naona mwendo wetu uwe mdundo
Ufisadi idara ya IT
Idara hii kama ilivyo Wizara, imeoza na inaongozwa na VIHIYO na cha ajabu ni kuwa vijana wako wengi tuu wasomi na ambao wako dedicated lakini kila wakiomba kazi hawaitwi kwenye usaili
Mkurungenzi aliyestaafu, Mama Kamazima elimu yake ilikuwa sifuri ndio maana unaona mishahara yenu kila wakati ilikuwa inachelewa....connection? well huyu ni MKWE wa aliyekuwa biso waPCCB basi mambo yakaenda hivo hivo tu.
Anayekaimu sasa hivi, Mr MFIKWA elimu yake ni sifuri na anapenda rushwa kama nyuki na Asali.
Kuna mkurungezi mmoja alipewa ukurungezi kwa ukabila na Mr MGONJA wakati huo anaitwa Mr MSHANGILA, yeye alisomea statistics. Lakini ukweli ni kuwa hamna kitu...in otherwords ni mputu na hajui chochote kuhusu IT.
Ohhhhh hold on a minute....
Kuna Mama mmoja mle anaitwa MAMA Zubeda, alipelekwa IFM kusoma ...yes you bet, aka 'DISCO' mwaka wa kwanza.
Baada ya hapo wahemishimiwa wakapelekwa Uingereza kusoma chuo kisichatambulika... .. (Degree miaka miwili), hata huko khabari za uhakika ni kuwa mwaka wa kwanza tu alishindwa maana alikuwa anafanyiwa courseworks na jamaa yake wa Ki Ghana , ngoma ilipokuwa nzito akaamua kukaa huko miaka miwili akibeba box(PAY SLIPS ZIPO), akatengeneza cheti cha kununua (USHAHIDI UPO) akarudi, ....Guess what? naye kapewa ukurungezi...btw hakuna chochote anachokijua cha IT, halafu mnategemea mishahara hewa iwahi on time na watumishi hewa wasiwepo kwenye payroll inawezekana?
watu wa wizara elimu stay tuned...