Ufisadi ndani ya majengo ya CCM Mkoa-Moshi

LuCKNOVICH

Senior Member
Jan 22, 2011
104
11
Inakuwaje unapangishiwa nyumba but choo is not included?.hii ndio wanafanyiwa wapangaji wa jengo la ccm mkoa Kilimanjaro,pamoja na kulalamika wametishiwa kufukuzwa ndani ya jengo.Je hu ni uungwana.kama jengo hilo limejengwa na wananchi wote kwa kukatwa kodi bila kujali upenzi wa wa chama au itikadi.Je Mama Swai au JK unayajua hayo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom