Ufisadi ndani ya Ileje

Ufisadi ndani ya Ileje

Joined
Sep 27, 2012
Posts
32
Reaction score
9
Kufuatia kuwepo kwa mwenyekiti wa halmashauri ya Ileje aliye kosa elimu kwa kuishia daasa la nne na kujaliwa kuongea, amejikuta akizidiwa kete na wakuu wa idara ndani ya halmashauri na kuburuzwa baada ya kushindwa kuzitolea maeLezo pesa za msaada zilizo tolewa kwa ajiri ya ujenzi wa kituo cha watoto yatima.

Sh mil 130 walizo kuwa wamepewa UAJA na kuzitafuna zote bila kujenga kitu chochote,halmashauri ilipo wafuatilia ilirudishiwa sh mil 9 na bila kuzungumza chochote je mwenyekiti kazi yake ni nini wana CCM?. Kutokana na utendaji mbovu wa meya huyo kumesababisha upotevu wa pesa nyingi za TASAFU kwa ufisadi wa watumishi.

Hata hivyo mpaka leo vijiji 19 havina wenyeviti na hatujui ni lini uchaguzi utafanyika.
 
Yawezekana elimu yake ni ndogo, ndo maana amekuwa wa kubwabwaja tu, hakuna wataalam wa kushauri huko? Gear Box imepatikana? Haishangazi kuhusu UAJA. Mabadiliko yatoke kwa wananchi. Mungu amlaze mahali pema peponi "STEVEN KIBONA" Miundo mbinu mingi kaiacha yeye.
 
Mbona thread haijakaa vizuri kaka? Embu fafanua vizuri ili na sisi huku Ngulilo tutoe mchango wa hilo.
 
Nyie wa andali mumekuwa gheto la CCM mutaibiwa mpaka mujijue
 
Ni kweli wamekuwa gheto la CCM, kuweni na tabia ya ujasiriamali hata kwenye siasa "TAKE RISK" weka chama ingine tuone, angalieni majirani zenu malawi, kilimo kwanza kwa hayati Prof. Bingu, bado mnajivunia mmeuza sana, kama sio wamalawi kuvuka, hata kiroba kimoja msingeuza, fungukeni akili "KWA JINA LA YESU"
 
Back
Top Bottom