Kumbuka Lowasa hakulindwa wanaolindwa wapo ccm mpaka leo wamepewa majimbo ya kugombea pamoja na kashfa.
Lakini Lowassa alijiuzuru , kisiasa maana yake ni kuruhusu tuhuma zichukuliwe hatua mbele zaidi kisheria bila mhusika kulindwa na madaraka yake swali mbona hawakufuata taratibu kisheria baada ya mtuhumiwa kujiuzuru? kwa nyingine waliona hahusiki na ufisadi nayeye mwenyewe kajisafisha kuwa ilikuwa ni amri toka juu ba hahusiki kamwe kama ccm wanaona kuna ufisadi mwendesha mashitaka wa serikali anafanya nini ofisini kwake amfungulie kesi kama hawana kesi wakae kimya maana ufisadi uko ndani yao.