Ufisadi BRELA

Ufisadi BRELA

J4MAYOKA

Senior Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
147
Reaction score
86
Kwa nini ukitaka kuanzisha kampuni ukisearch jina online kwenye website yao kama lipo au la hawakubali wanataka uandike barua wakae nayo 2 weeks kisha wakujibu kama jina lipo au la

why?
 
unauliza umasikini TZ?? jibu ni rahisi ,ukitoa 50 unapata jibu ndani ya dk 10..tumeshazoea na Life is GOOD!
 
naweza kuwatetea. Wala si wk 2 bali siku 3 hivi, tena bure. Na ile inasaidia kuweka kumbukumbu kuwa una jina la kampuni Brela. Ukishapewa jina ni juu yako kutafuta wapi ukaandalia hizo MEMART, aidha uwape dili wale masekretari ama ukajitengenezee mwenyewe, ila ada zao sio longolongo
 
Back
Top Bottom