Kuongeza mshahara?, uvccm hamna tofauti na TBC kwa kusifia uongoWakuu habari ya mchana,baada ya mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Pombe Joseph Magufuri kuhudhuria sherehe za may mosi na kupokelewa na mamia kama sio maelfu ya watu na wananchi kuacha shughuli zao kumpokea mpendwa Rais wao,vijana wa ufipa wamekosa mjadala ktk hili baada ya kuona mategemeo yao kupoteza uelekeo,na la Leo uwanjani limewamaliza kabisa umati uliofurika tofauti na mapokezi maana ufipa walitegemea wafanyakazi kuzila kwenye sherehe hizo lkn hawakuamini kilichotokea na walichoka waliposikia ongezeko la mishahara,ajira mpya uhamisho fedha mkononi ndo unabeba begi,wamechoka kabisa,Ufipa mkae mjue tu huyu ndio aliyekuwa anasubiliwa na wananchi na kama mnahisi atapoteza uelekeo wananchi tupoteze imani nae msahau,2020 mapema tu anakabidhiwa nchi.
Very true. Haters can't make good leaders.Waliokosa cha kusema ni hawa Haters wanasema Chadema ni Chama cha Wachaga. Wakiaminisha watu Uchagani CCM haipo wala hawakupigiwa kura.
Maelezo yako yanaonesha ni mtu mwnye uelewa mfupi sana. Nakushauri uwe una tafakari kabla ya kuandika kitu humu, na vile vile uwache kufikiri kuwa ndoto zako ndio mambo wanayo yafikiria watu wengine. Acha kuzusha mambo yasiyo na uelekeo ndugu, una jidhalilisha tu.Wakuu habari ya mchana,baada ya mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Pombe Joseph Magufuri kuhudhuria sherehe za may mosi na kupokelewa na mamia kama sio maelfu ya watu na wananchi kuacha shughuli zao kumpokea mpendwa Rais wao,vijana wa ufipa wamekosa mjadala ktk hili baada ya kuona mategemeo yao kupoteza uelekeo,na la Leo uwanjani limewamaliza kabisa umati uliofurika tofauti na mapokezi maana ufipa walitegemea wafanyakazi kuzila kwenye sherehe hizo lkn hawakuamini kilichotokea na walichoka waliposikia ongezeko la mishahara,ajira mpya uhamisho fedha mkononi ndo unabeba begi,wamechoka kabisa,Ufipa mkae mjue tu huyu ndio aliyekuwa anasubiliwa na wananchi na kama mnahisi atapoteza uelekeo wananchi tupoteze imani nae msahau,2020 mapema tu anakabidhiwa nchi.
Huyu binti mleta uzi huu Sijui kama atakujibu maswali yako hayo?Annual increment si ongezeko la mshahara ndugu.
Ameongeza kwa percent ngapi ndugu?, huna majibu.
Waajiriwa wapya watakaoajiriwa mwaka wa fedha 2017/18 basic yao ni sh.ngapi ndugu?
Mkuu kuongeza asilimia % ngapi? Je kodi hajapunguza Lakini ufipa walikupa taarifa kuwa watu hawatahudhuria? Au unalipia bili maana sisi tunajua Tanzania ni moja na hatuna ubinafsi sema "Mheshimiwa" huwa anatulisha sumu ya kubaguana na roho ya korosho ila sisi watanzania ni wamoja tunamchora tu Akili kumkichwa kwahiyo usitumie ubashite kutulisha maneno kama[emoji379]Wakuu habari ya mchana,baada ya mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Pombe Joseph Magufuri kuhudhuria sherehe za may mosi na kupokelewa na mamia kama sio maelfu ya watu na wananchi kuacha shughuli zao kumpokea mpendwa Rais wao,vijana wa ufipa wamekosa mjadala ktk hili baada ya kuona mategemeo yao kupoteza uelekeo,na la Leo uwanjani limewamaliza kabisa umati uliofurika tofauti na mapokezi maana ufipa walitegemea wafanyakazi kuzila kwenye sherehe hizo lkn hawakuamini kilichotokea na walichoka waliposikia ongezeko la mishahara,ajira mpya uhamisho fedha mkononi ndo unabeba begi,wamechoka kabisa,Ufipa mkae mjue tu huyu ndio aliyekuwa anasubiliwa na wananchi na kama mnahisi atapoteza uelekeo wananchi tupoteze imani nae msahau,2020 mapema tu anakabidhiwa nchi.
Na we ukaamin huo ujinga kwamba yanachanwa??/duh aisee kwa kuamini we kiboko. Tupe na picha yaliyochanwa na yalikua yameandikwa nnKuzila - Kuzira
Wakuu habari ya mchana,baada ya mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Pombe Joseph Magufuri kuhudhuria sherehe za may mosi na kupokelewa na mamia kama sio maelfu ya watu na wananchi kuacha shughuli zao kumpokea mpendwa Rais wao,vijana wa ufipa wamekosa mjadala ktk hili baada ya kuona mategemeo yao kupoteza uelekeo,na la Leo uwanjani limewamaliza kabisa umati uliofurika tofauti na mapokezi maana ufipa walitegemea wafanyakazi kuzila kwenye sherehe hizo lkn hawakuamini kilichotokea na walichoka waliposikia ongezeko la mishahara,ajira mpya uhamisho fedha mkononi ndo unabeba begi,wamechoka kabisa,Ufipa mkae mjue tu huyu ndio aliyekuwa anasubiliwa na wananchi na kama mnahisi atapoteza uelekeo wananchi tupoteze imani nae msahau,2020 mapema tu anakabidhiwa nchi.
Amesema bado wale waliorudisha umri nyuma.Teh teh teh naona mnaanza kukata kiuno mkuu.
Ndiyo huyu aliyesema ''haitazidi mwezi mmoja na nusu au miwili atatoa ajira?''
Ukiwa ccm akili zinahamia ma.ta..koni. Endeleeni kufurahia kucheza ngoma za usiku wa manane.
Atatoa ajira 52,000 teh teh teh ajira za mdomon lbd.
"Namuamini Tundu lissu tu, siku yyte ataenda mahakama kutetea dhid ya dikiteta uchwara, aliyeruhusu 15% ya makato ya HELSB na fao la kujitoa. Mlizoea kula pesa zetu za mafao, Lissu atawanyoosha.
Mtoa uzi endelea kucheza ngoma usiyoijua. Akitoa hizo ajira na kuongeza mishahara siku nahama Tanzania.
Teh teh teh teh ajira 52,000 teh teh teh teh
Km mtoa uzi unazisubiri hizo utangoja sana
teh teh teh
Kumuamini kichaa mpaka na ww uwe kichaaaaaa
Mama, baba, bibi na babu zako wote wako ccm!Teh teh teh naona mnaanza kukata kiuno mkuu.
Ndiyo huyu aliyesema ''haitazidi mwezi mmoja na nusu au miwili atatoa ajira?''
Ukiwa ccm akili zinahamia ma.ta..koni. Endeleeni kufurahia kucheza ngoma za usiku wa manane.
Atatoa ajira 52,000 teh teh teh ajira za mdomon lbd.
"Namuamini Tundu lissu tu, siku yyte ataenda mahakama kutetea dhid ya dikiteta uchwara, aliyeruhusu 15% ya makato ya HELSB na fao la kujitoa. Mlizoea kula pesa zetu za mafao, Lissu atawanyoosha.
Mtoa uzi endelea kucheza ngoma usiyoijua. Akitoa hizo ajira na kuongeza mishahara siku nahama Tanzania.
Teh teh teh teh ajira 52,000 teh teh teh teh
Km mtoa uzi unazisubiri hizo utangoja sana
teh teh teh
Kumuamini kichaa mpaka na ww uwe kichaaaaaa
Kumbe hili li Francis12 ndio linaitwa Gooluck Abel?Kuzila - Kuzira
Washahama kitambo sana kumsupport mjukuu wao. Sbb maovu ccm yamekithiri sana mpaka yanatia hasira.Mama, baba, bibi na babu zako wote wako ccm!