Ni kweli hatufaimiani na ndio raha yake maana mtu unatoa ya moyoni! Hi vi kwa Tabia wanayoonyesha wapinzani wakipewa Umeya watauweza kweli. Kwani tabia zao ni: Umwamba usio na sababu, Fujo, Visingizio . Mh. Magufulki nakuamnia Vunja mambo haya ya madiwani maana wewe una uthubutu ni kupoteza Tax Payers money unnecessarily! Tunakumbuka mambo yalivyoenda wakati wa Keenja. Vunjilia mbali mambo ya madiwanisijui na mameya yanachelewesha maendeleo!
Of course Demokrasia ni muhimu sana. lakini pale unapokuwa na ukika 90% kuna kufail Utakumbatia tu democrasia?!?!?!?!?!? Sina hakika na Umri wako lakini kuna kipingi mambo sijui ya Halmashauri yalivunjiliwa mbali na mambo yakaenda. Et demnokrasia unaona kabiosa hapa kuna kufail unaikumbatia Big no!!!!! Kwa upande wangu si wa CHADEMA wala CCM wala ACT mambo ya madiwani yavyunjiliwe mbali nchi hii iende! Hamna maana yoyote zaidi ya kula posho za vikao huku wanafunzi wanakaa chini!Suala sio kuweza au kutoweza bali demokrasia ya kweli ichukuwe mkondo wake. Wanaweza ahawawezi walichaguliwa na wananchi wa Dar. Hata Magufuli kachaguliwa pia kama wao. CCM mbona haijaweza tangu iwe madarakani lakini kwa kuwa ndio iliyochaguliwa inababaisha hivyo hivyo hadi siku tukipata chama kiwezacho ama wakiweza.
Of course Demokrasia ni muhimu sana. lakini pale unapokuwa na ukika 90% kuna kufail Utakumbatia tu democrasia?!?!?!?!?!? Sina hakika na Umri wako lakini kuna kipingi mambo sijui ya Halmashauri yalivunjiliwa mbali na mambo yakaenda. Et demnokrasia unaona kabiosa hapa kuna kufail unaikumbatia Big no!!!!! Kwa upande wangu si wa CHADEMA wala CCM wala ACT mambo ya madiwani yavyunjiliwe mbali nchi hii iende! Hamna maana yoyote zaidi ya kula posho za vikao huku wanafunzi wanakaa chini!
Toka lini kule wakatoa hela?? Sisi kule mpaka bendera inauzwa! Zaidi zaidi sisi Ndio tunakichangia chama! Na tunajivunia jambo Hilo.na wewe unapewa buku ngapi kwa kupinga thread za walipwaji??