Ujira bana.Siasa za CHADEMA hivi sasa zimebaki bungeni tu, bunge limeisha tumesahaurika, hatusikiki, na wala hamna anayewafuatilia mambo yetu,
Watanzania wote wameamua kushirikiana na rais Magufuli na kuachana na siasa zetu za kikanda.
Hapa makao makuu ni ugomvi kila siku, Mbowe kamnunia Sumaye kwa kutamka hadharani eti magufuli ni Jembe. Lowasa anaanda mapinduzi ya kujipatia uenyekiti, Mnyika kajitenga na shughuli za utendaji, Kubenea ndo kajikabidhi uenezi wa chama.
Yani structure haifuatwi tena. ukibisha pitia hapa ufipa, ofisini pamepwaya. Zogo kubwa ni namna ya kugawana ruzuku, kuna watu wanataka kurudishiwa pesa kwanza walizotoa wakati wa uchaguzi.
MAGUFULI kwa mwendo huu, utatuumiza.
hali si shwali makamanda tujipange kuokoa jahazi, yani leo nimeamua kuingia ufipa saa sita, sababu sababu ya kuwahi sina tena. Mwenyekiti mwenyewe haonekaniDaah kijana bado unakubali kutumika kwa watu flan ndipo upate posho ya kuendesha maisha yako
Hahaha mnatia hurumaNaona Ccm inaangaika kujua tunachokifanya subirini mdaa si Mrefu mtakiona. Asanteni
CHADEMAKWANZA
Na bado,endeleeni kutia maji manake kunyolewa ni lazima.Siasa za CHADEMA hivi sasa zimebaki bungeni tu, bunge limeisha tumesahaurika, hatusikiki, na wala hamna anayewafuatilia mambo yetu,
Watanzania wote wameamua kushirikiana na rais Magufuli na kuachana na siasa zetu za kikanda.
Hapa makao makuu ni ugomvi kila siku, Mbowe kamnunia Sumaye kwa kutamka hadharani eti magufuli ni Jembe. Lowasa anaanda mapinduzi ya kujipatia uenyekiti, Mnyika kajitenga na shughuli za utendaji, Kubenea ndo kajikabidhi uenezi wa chama.
Yani structure haifuatwi tena. ukibisha pitia hapa ufipa, ofisini pamepwaya. Zogo kubwa ni namna ya kugawana ruzuku, kuna watu wanataka kurudishiwa pesa kwanza walizotoa wakati wa uchaguzi.
MAGUFULI kwa mwendo huu, utatuumiza.
Iendelee na mafisadi yapiUjira bana.
Sasa mnachotaka ni nini?
Serikali ifanye kazi inavyotakiwa au iendelee na ufisadi?
Hamuelewi upinzani ulichokuwa unapigia kelele?
Na bado kelele zitapigwa sana
USHAURI:Mkitaka mambo yenu yaende vizuri mwambieni Kingunge akafute maneno yake kwamba CCM imekata pumzi. Atumie vyombo vya habari vile vile na mahali pale pale,vinginevyo mtaendelea kukata pumzi hivyo hivyo kwa laana hiyo hiyo.Siasa za CHADEMA hivi sasa zimebaki bungeni tu, bunge limeisha tumesahaurika, hatusikiki, na wala hamna anayewafuatilia mambo yetu,
Watanzania wote wameamua kushirikiana na rais Magufuli na kuachana na siasa zetu za kikanda.
Hapa makao makuu ni ugomvi kila siku, Mbowe kamnunia Sumaye kwa kutamka hadharani eti magufuli ni Jembe. Lowasa anaanda mapinduzi ya kujipatia uenyekiti, Mnyika kajitenga na shughuli za utendaji, Kubenea ndo kajikabidhi uenezi wa chama.
Yani structure haifuatwi tena. ukibisha pitia hapa ufipa, ofisini pamepwaya. Zogo kubwa ni namna ya kugawana ruzuku, kuna watu wanataka kurudishiwa pesa kwanza walizotoa wakati wa uchaguzi.
MAGUFULI kwa mwendo huu, utatuumiza.
Mkuu ogopa sana njaa,Daah kijana bado unakubali kutumika kwa watu flan ndipo upate posho ya kuendesha maisha yako
Mkuu jambo la msingi na la kushukuru tu ni kwamba ccm wanakili kuwa chama cha upinzani ni cdmNaona Ccm inaangaika kujua tunachokifanya subirini mdaa si Mrefu mtakiona. Asanteni
CHADEMAKWANZA
Piga kazi Mzee wa 46.Ujira upi!!
Lowassa tulimsema akiwa Ccm
na tutamsema popote aendapo
Maana Ana laana ya Wizi huyo
Siasa za CHADEMA hivi sasa zimebaki bungeni tu, bunge limeisha tumesahaurika, hatusikiki, na wala hamna anayewafuatilia mambo yetu,