Ufilipino: Rais wa zamani mahakamani kwa ufisadi

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
[h=3][/h]

thumbnail.aspx
Gloria akiwa na mumewe wakati wa siku za furaha.

Rais wa zamani wa Ufilipino Gloria Macapagal Arroyo alifikishwa mahakamani sambamba na mmewe kwa tuhuma za ufisadi. Arroyo anasemekana kuwa alishiriki ufisadi katika kutoa tenda kwa kampuni la mawasiliano ya simu la Kichina. Mradi husika ulikuwa na thamani ya dola 330. Hii haina tofauti na kinachoendelea nchini Tanzania ambapo huduma za simu zimebinafsishwa kiholela kiasi cha kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye huduma aghali na mbovu za simu barani Afrika. Hata upande wa nishati si salama. Arroyo alitawala Ufilipino kuanzia 2001 hadi 2010. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.
Chanzo; Mpayukaji blog or Freethinking Unabii.
 
Tuige mazuri kama haya ya kulinda maliasili za nchi kwa kuwashitaki watawala baada ya muda wao, kwa kufanya ufisadi wakiwa madarakani kutoka kwenye katiba ya Phillipines!!
 
Back
Top Bottom