Ufaulu wa Wanafunzi wa Shule za kata Kuongezeka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufaulu wa Wanafunzi wa Shule za kata Kuongezeka.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Jun 19, 2011.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Baada ya wazazi, wanaharakati na wanasiasa kuhoji kuporomoka kwa ufaulu wa wanafunzi wa shule za kata katika matokeo yaliopita, kunamkakati wa kuotoa matokeo ya kuwaridhisha wananchi ili kuepusha lawama dhidi ya mipango ya serikali katika kuongeza idadi ya shule na waliofaulu kila mwaka.
  Mkakati huo unatarajiwa kuanza katika matokeo yanayofuata na kuendelea.

  Hii itasaidia hata kampeni zijazo ziwe na mafanikio hasa kwa chama tawala.
   
 2. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukiona hivyo watawala wameshindwa kazi
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Kwasababu mmelalamikia matokea halisi, mtapewa mnayoyapenda. Watoto wenu watafaulishwa ili sera ya MEM iuzike.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hapo hata ambao hawajui kusoma watapata daraja la kwanza ili tu kuwaridhisha watu!
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Sosi pliiiiiiiiiiiiiiiizi. Otherwise a gosip.
   
Loading...