Ufaulu somo la kiswahili darasa la saba

Ufaulu somo la kiswahili darasa la saba

abdukarim

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2017
Posts
476
Reaction score
593
Habari ndugu zangu watanzania, naamini mungu ni mwema kwa kila jumbo.Katibu baraza la mtihani (Necta) ametangaza matokeo darasa la saba na kusema kuwa somo la kiswahili wanafunzi wamelifaulu kwa asilimia 86 kwa kuchukua nafasi ya Kwanzaa na somo la kingereza kuchukuw nafasi ya Neosho.

Kwa mawazo yangu mm ni wakati muafaka serikali kubadili mtaala wa sekondari kufundishwa katika kiswahili wanafunzi wanaoenda sekondari waweze kuelewa hichho wanachokisoma. Kama wanatoka huku shule ya msingi na lugha wanailewa vzuri ni dhahiri sekondari watafanya vzri.
Tumuombe mh baba J alione hlo ili tusiendelee kuwa watumwa wa hawa watu weupe.Nawasilisha
 
Ni kweli hili suala limepigiwa kelele wee hadi leo halijapata muafaka..kuna mawazo kinzani bado
 
Bint yangu kapata A3, Kisw, Eng na Mathsi! Namshukuru Mungu kwa ufaulu wake ila hata sijui anataka kuja kuwa nani!
 
Back
Top Bottom