Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,763
- 239,434
Kwanza niwape pole sana mashabiki wa Arsenal kwa kipigo cha mbwa mwizi aliyekunywa maziwa ya mtoto , binafsi sikustuka bali nilishangaa kwa Bayern kupata mabao machache kinyume cha matarajio .
Sasa ngoja niwape mchongo .
Bila kuizuia Arsenal chini ya Wenger kuingia ndani ya Top 4 , England itaendelea kufedheheshwa miaka nenda rudi , hii timu haina viwango vya Champions League , haina tofauti sana na Sunderland , Crystal Palace & the likes , sijui inaingiaje Top 4 ?
Ili kulinda heshima ya EPL na kulinda pia heshima ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE , ni lazima liundwe zengwe Arsenal isiwemo Top 4 .