Umesahau kuwashauri Madereva kuto-panic. Vinginevyo anaweza kukanyaga accelerator gari ikapaa1) Ondoa mguu wako kwenye accelerator na Washa taa za dharura (hazard lights)
2) Pump (kwa kukanyaga na kuachia) pedal ya breki kwa haraka haraka
3) kama ulikuwa kwenye gia kubwa ipeleke haraka kwenye gia ndogo (lower gear). (Kama gari Yako ni automatic, toa gia kwenye D uipeleke kwenye S au L)
4) Gari ikipingua mwendo, vita hand brake Taratibu Taratibu hadi utakapokuwa umeivuta yote.
5) kama eneo ni baya zaidi mfano barabara yenye mteremko au Bonde, lengesha gari Yako kwenye kwenye upande Wenye sapoti ya ngema na kisha iserereshe na ukuta wa ngema.
NB, hatua zote zinapaswa kufanya kwa Kwa mfuatano na haraka huku ukiomba Dua maana uhakika wake ni 70%
Leta darasa mkuu tujifunze.Hpo kwenye namba tatu hujafanya Vzr homework yako......rudi tena veta ili uweze kuzitambua hizo gia
Hapo turekebishe kidogo mkuu "S NI SPORT boss sio sahihi,ila L ni LOWER au B ile ya BRAKING hizi L au B ndiyo Gear ndogo kwenye Automatic kulingana na aina ya Gari.Leta darasa mkuu tujifunze.
Onyesaha njia baada ya kukosoa.
Unaslide mguu kwenye tairi ya mbele inayozunguka mkuu kazi kwisha,Sisi wa baiskel kimya kimya tunapita
Trust my words, hiyo hali ikitokea hutokumbuka hata kimoja hapo.1) Ondoa mguu wako kwenye accelerator na Washa taa za dharura (hazard lights)
2) Pump (kwa kukanyaga na kuachia) pedal ya breki kwa haraka haraka
3) kama ulikuwa kwenye gia kubwa ipeleke haraka kwenye gia ndogo (lower gear). (Kama gari Yako ni automatic, toa gia kwenye D uipeleke kwenye S au L)
4) Gari ikipingua mwendo, vita hand brake Taratibu Taratibu hadi utakapokuwa umeivuta yote.
5) kama eneo ni baya zaidi mfano barabara yenye mteremko au Bonde, lengesha gari Yako kwenye kwenye upande Wenye sapoti ya ngema na kisha iserereshe na ukuta wa ngema.
NB, hatua zote zinapaswa kufanya kwa Kwa mfuatano na haraka huku ukiomba Dua maana uhakika wake ni 70%
Mti ndo utakuuaGari ikifeli breki chagua mti!
Ndio maana yake, hivi ni dereva gani ambae hajui nini cha kufanya endapo gari itafeli breki!Mti ndo utakuua
Pole Sana mkuu, mwisho ilikuaje ?Trust my words, hiyo hali ikitokea hutokumbuka hata kimoja hapo.
Nilikuwa kwenye speed 80 mara paaap chupa ya maji/Uhai imenasa nyuma ya Breki pedal ikiwa na maji ndii so pedal haisogei. Sitaki ile kumbu kumbu irejee kichwan mwangu.
Any way ajali zina mengi
Hapo ndio wasiwasi wangu ulipoanzia.Tatizo hujui gia kubwa ni ipi na ndogo ni ipi.
Unaifanya ireseat1) Ondoa mguu wako kwenye accelerator na Washa taa za dharura (hazard lights)