Hatukua na ugomvi mkubwa zaidi kuishi kwa kutoelewana tu + tendon la hakuna kila siku ni kuona msg za wanawake tu in short nimengSababu ya kuachana ni ipi?
Watoto wote bado wapo katika umri ambao kisheria mwanaume anaweza shurutishwa kuwahudumia...
Hatukua na ugomvi mkubwa zaidi kuishi kwa kutoelewana tu + tendon la hakuna kila siku ni kuona msg za wanawake tu in short nimengSababu ya kuachana ni ipi?
Watoto wote bado wapo katika umri ambao kisheria mwanaume anaweza shurutishwa kuwahudumia...
Najipa muda nikiwa wapi?Aisee 100% inabidi utulize akili kabsaa jipe mda wakutosha kabla ya kufanya maamuzi ya kukurupuka...ukikosea kidogo iyo wM itaisha kama upepo na utakosa mbele wala nyuma...Ushauri wangu JIPE mda kidogo ata miezi miwili,mitatu ivi akili itatulia na utasahau kwa kiasi flani mateso ya Ndoa JIPE MUDA kwasababu wahenga wanasema MUDA NI TIBA,,MUDA NI JIBU....
Kasema hawezi kuhudumia watu aambao hawako mikononi mwakeKwanini mtoto anahama shule kwani baba kasitisha huduma au?na kuhusu kitu cha kufanya ili kujikimu kimaisha angalia kitu gani unachokipenda unachoweza kufanya na ukakimudu maana watu wengine wanaokuwaga na hela mkononi halafu ndo aanze kuomba ushauri nini cha kufanya wanaangukiaga pua, japokua kupata mawazo ya watu sio mbaya,hayo ni mawazo yangu tu.Take it or leave it
Nenda ustawiKasema hawezi kuhudumia watu aambao hawako mikononi mwake
iyo miezi miwili mitatu atakuwa anakula upepo au?Aisee 100% inabidi utulize akili kabsaa jipe mda wakutosha kabla ya kufanya maamuzi ya kukurupuka...ukikosea kidogo iyo wM itaisha kama upepo na utakosa mbele wala nyuma...Ushauri wangu JIPE mda kidogo ata miezi miwili,mitatu ivi akili itatulia na utasahau kwa kiasi flani mateso ya Ndoa JIPE MUDA kwasababu wahenga wanasema MUDA NI TIBA,,MUDA NI JIBU....
Huyo mtoto ambae yuko darasa la tatu unaweza ukampeleka kwa baba yake ili aendelee kusoma huku wewe ukiendelea na mambo mengine muache mtoto asomeKasema hawezi kuhudumia watu aambao hawako mikononi mwake
Alafu ninabint ambae nimeshindwa kumrudissha kwao sasa HV maana hata mwez haujamaliza tangu kajaiyo miezi miwili mitatu atakuwa anakula upepo au?
Sawa nikapange au nikae kwanza nyumbani??Naona anza na huo uwakala ukiwa unatafuta chenye faida zaidi
Anza nyumbani ili usijipe majukumu mengi kwa sasaSawa nikapange au nikae kwanza nyumbani??