Ufahamu

njiku ze don

Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
7
Reaction score
0
Ndugu wana JF anayejua utaratibu wa kuomba kubadilisha TAHASUSI (COMBINATION) kwa wale waliochaguliwa kidato cha tano anisaidie tafadhali.
 
Zamani tulikuwa tunafanya hivi, unaangalia shule uliyopangwa hio tahasusi unayotaka ipo Kama ipo unareport ukifika tu baada ya usajili unamwandikia barua mkuu wa shule husika na unaambatanisha na nakala ya result slip, wanaangalia Kama unakotaka kuhamia umefanya vizuri pia sio utoke HKL una point 8 ikiwa labda CCB unataka PCM point 10, una DCC!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…