Peleka kituo cha usalama barabaraniVipo mkuu
Hukupata japo kapicha? Au mshangao ulikuwa mkubwa!Haikua vurugu ila raia tulikua tunashangaa na pia wenye kazi zao pale kituoni wanasema amezoea hiyo ni tabia yake.
Lazima mkuu kwa maanq nimegundua sie watanzania ni waoga sana na kuutafuta ukweli na haki. Nasubiri muda usogee nielekee kwa wahusika nikiwa na mwanasheria wang.