Msomaliii
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 239
- 338
Habarini wakuu. Naomba kufahamu kuhusu hizi sheria za barabarani, nimechanganyikiwa baada ya jana jion kukutana na trafiki apa kituo cha segerea akiwa anang'oa plate number ya daladala.
Naomba kufahamu juu ya hizi sheria na mamlaka aliyo nayo huyu trafiki na zipi ni hatua stahiki za kufuata na wapi pa kwenda kupata haki ya msingi ya kila mwananchi katika kuipata haki sawa!!