Ufahamu juu ya course ya health information science

Kwa hapa bongo kuna chuo kinachotoa hii kitu?
 
Hivi naomba kuuliza MTU akisoma hii course anaajiriwa kama nano naona kama inaingiliana na IT au? Naomba kuelimishwa kidogo
 
Okay asante kwa maelezo ndugu
 
Unauliza kwa kiswahili maelezo kwa kingereza ,kwanini usiendelee na kiswahili
 
Hii course ni nzuri mwenye list ya vyuo vinavyotoa hii kozi anisaidie hasa vya GOV ila Hata private sio mbaya
 
Mwenye connection na hichi chuo anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…