Mbaga Lazaro
Senior Member
- Aug 9, 2020
- 132
- 109
Suala la tozo limezua mjadala katika mitandao mbalimbali ya kijamii (hasa miamala ya kielektroniki)hivyo kupelekea maoni tofauti tofauti wengine wakipinga na kudai zinazidisha ugumu wa maisha wengine wakidai ni muhimu na tena ziongezwe kwa ajili ya kupeleka mbele maendeleo.Huu hapa ufafanuzi wa serikali.👇