Ufafanuzi wa kina juu ya (vyeti) elimu ya Makonda

Utetezi mwepesi sana, serikali isingeshindwa kupata MTU na kumpachika wanapotaka, acha longolongo. Wenyewe wakitaka wanaweza kwenda hats nectar na kuweka Nina na kupata cheti chenye jina lolote na kumpachika kusoma au kufanya Kazi wanayoitaka bila yoyote kujua,hizo nyingine hadithi tuu, ila umejitahidi wenye mawazo kama yako utawapata wengi.
 
Pamoja Na propaganda zako, Rais Hanasababu Ya kuendelea kumulea kwa kumzawadia ukuu WA mkoa, angeweza kumpa kazi nyingine ili aweze kuendelea Na kazi yake Ya usalama WA nchi.
 
Kwani bashite alibadilisha identity lini? Maana hyo ngazi ya degree ni mbali sana, alianza na certificate, akaenda diploma,,,, ina maana huko kote alikuwa shushushu?
 
Ndugu wananchi, napenda kutumia nadharia kuelezea juu ya uwezekano wa uhalali wa vyeti vya taaluma ya Makonda ili kuweka kumbukumbu vizuri katika historia yake ya kisiasa ya sasa na ya baadaye.

Nimeamua kutumia nadharia ili kuondoa mzimu huu ambao unamuandama ndugu yetu mpendwa kwa siku zilizopita, za sasa na siku za usoni!

Wengi wetu tumepitia mfumo tofauti wa elimu tofauti na ndugu Makonda. Wengi wetu elimu zetu ndizo zimedetermine ajira zetu hivyo tunatumia vyeti vyetu mathalani vya udaktari kuombea kazi za afya!

Mh Makonda amepitia mfumo kinyume na huu, au ‘flashback education’… Taarifa zinasema kuwa huko nyuma, katika umri mdogo, Makonda alifanikiwa kupata kazi katika taasisi nyeti iliyopo chini ya wizara ya mambo ya ndani yaaani kama mwana usalama.

Yani Makonda alipata kazi kabla ya kuwa na elimu ya juu. Kama ambavyo mnaielewa fani ya usalma wa taifa. Hii ni kazi inayohitaji kupandikiza watu wasiotegemewa kabisa katika maeneo mbali mbali ili kukusanya taaarifa zitakazohakikisha usalma wa taifa, taasisi za kiserikali pamoja na usalama wa raia.

Kwa hiyo watu wa usalama wa taifa hupandikizwa katika sehemu mbali mbali, mfano vyuoni, kwenye mashirika ya uma na hata nje ya nchi.

Na kwa fani hii ilivyo ili uweze kufit maeneo Fulani basi mwanausalama ANALAZIMIKA mara kwa mara kubadilisha identity ikiwa ni pamoja na jina, kutafuta vyeti tofauti na vile alivyo navyo ili aweze kupenyezwa sehemu Fulani na kufanya kazi za kipelelezi bila kutambulika n.k

Kazi ambayo Makonda ameifanya kwa taifa hili huko nyuma, haina tofauti sana na kazi aliyoifanya Putin, Rais wa sasa wa Urusi alipokuwa sehemu mbali mbali ndani ya nchi na hata nje ya nchi kama Ujerumani. Ndipo Rais Boris Nicolayevich Yeltsin kwa kuona utendaji na ufanisi wa hali ya juu wa Putin ndipo aliopamua kumuandaa awe mrithi wake kwa nafasi ya urais.

Yawezekana pia Makonda alifanya kazi yake ya usalama wa taifa kwa ufanisi mkubwa kitu kilichopelekea wakuu wake kumpandisha cheo haraka haraka hadi kuwa mkuu wa wilaya na sasa mkuu wa mkoa.

Iwapo kweli Makonda aliifanya kazi hii hatari yenye kuhatarisha maisha yake na kwa manufaa ya taifa, hata kubadilisha identity ili tu kuhakikisha usalama wa taifa unapatikana, basi alistahili kuwa mtu wa kuhurumiwa na kuungwa mkono, tofauti na sasa ambavyo jamii imekuwa ikimchukulia kama mtu aliyeghushi nyaraka kwa manufaa yake binafsi na kumtupia mawe kila uchao.

Ikumbukwe kuwa, iwapo ni kweli Makonda ilibidi atafute vyeti tofauti na vile vya kwake (nyaraka/vyeti mficho) ili aweze kupenywezwa kwenye vyuo vya taaluma ya elimu ya juu na kukusanya taarifa ambazo sana sana zingehakikisha usalama wa wanafunzi zaidi ye elfu tano waliokuwa wanasoma chuo cha ushirika, basi wazazi wa watoto waliosoma chuoni hapo ndio wangepaswa kuwa wa kwanza kumshukuru Makonda kwa kuhakikisha kuwa anakusanya taarifa za kiintelijensia zilizowezesha kuwalinda watoto wao wakasoma kwa usalama na kuepusha kama yale yaliyotokea kwa wanafunzi waliokuwa wanasoma chuo kikuu cha Garisa kule Kenya.

Ikumbukwe kuwa, Makonda alifanya kazi nzuri ya kuhakikisha usalama wa wanachuo wengi wa ushirika, pengine pamoja na wakazi wa mkoa wa Kilimanjaro katika kipindi ambacho matishio ya ugaidi wa Alshabab yalikuwa ya hali ya juu… Inawezekana Makonda alifanya kazi nzuri sana ya kuhakikisha usalama wa maelfu ya watu waliokuwapo mkoani Kilimanjaro ila kwa kuwa taarifa hizo hazikuwa published basi inakuwa ni ngumu kwa watu wa kawaida kuelewa majukumu ambayo Makonda aliyapewa katika kuhakikisha ulinzi na usalama wa raia kwa upande wa Kilimanjaro na hasa chuoni Ushirika.

Taarifa zilizofanywa kuwa siri (ingawa sikuweza kuthibitisha taarifa hizo) zinasema kuwa kulikuwa na jaribio ambalo lilikuwa lifanywe na waasi kutoka katika nchi ambazo nchi yetu imepeleka majeshi kama kulipiza kisasi, na katika shambulio hilo magaidi walipanga kudondosha bomu kwenye ukumbi wa mihadhara uliokuwa na wanafunzi takrabini elfu moja na taarifa hizo zinasema kuwa Makonda alifanikisha kwa kiasi kikubwa kuzima shambulio hilo ambalo lingeangamiza maisha wa maelfu ya wanafunzi na kusababisha machungu yasiyozibika kwa familia nyingi ambazo zilikuwa na watoto, ndugu na jamaa katika chuo hicho!

Ni kwa vile hatuelezwi ni mbinu ngapi za kigaidi Makonda aliweza kuzizima na hivyo kulinda maisha ya wanafunzi wa chuo cha ushirika na kwingine alipoitumikia nafasi yake ndio maana jamii imekuwa ya kwanza kumrushia mawe mkombozi huyu aliyejitoa mhanga kwa ajili yao.

Taarifa kama hizi huenda mheshimiwa Rais alizipata kupitia utetezi wa ndani (yani confidential) na hivyo kuamua kumuacha Makonda aendelee kuitumikia nafasi yake pasipo na kuathiri maadili ya mtumishi wa uma.

Kumbuka Rais ana siri nyingi sana za nchi hii anazozifanyia kazi, huenda na hii ni moja wapo ya siri aliyoamua kuihifadhi kwa mafuaa ya taifa na kulinda mikakati ya kikosi cha upelelezi kinachofanya kazi zake kwa usiri wa hali ya juu.

Badala ya watu kudhani kuwa Rais alitumia busara za hali ya juu kumaliza swala hili na kuhifadhi siri za taifa, naye alitupiwa mawe kwa kumlinda Makonda!

Jamani ndugu wananchi, maswala ya kuwajibika kwa umma huku ukilinda siri za nchi ni mazito sana, hivyo kwa mheshimiwa Rais kulifanya suala la taarifa za Makonda kuhusiana na kubadilisha majina na kutumia vyeti vyenye majina yake yanayosemekana alikua akiyatumia nyuma kuwa siri ilikuwa ni jambo la busara zaidi kwake na lenye manufaa kwa taifa!

Mimi mwenyewe nisingependa kulijadili suala hili lakini baada ya kuona shutuma dhidi ya Makonda kuwa na athari kwa yeye kutimiza majukmu yake ya ukuu wa mkoa na kupata heshima stahiki zimekuwa nyingi, nimeona nilitolee maelezo kidogo.

Kwa hiyo kama ilivyo kwa wanausalama wengi, huwa wanapandikizwa mahali(kama vyuoni) kufanya kazi za kipelelezi na mara nyingi huwa hawamalizi mafunzo kwa kuwa wanafeli kitaaluma na hivyo kuamishwa sehemu nyingine na kuletwa wengine tena kuanza mwaka wa kwanza, swala hili lilikuwa tofauti kwa Makonda.

Japo Makonda alikuwa akitimiza majukumu yake ya kiintelijensia lakini pia alionesha kiwango kikubwa cha ufaulu na hivyo kuweza kuendelea na masomo yake. Ingawa inawezekana alipandikizwa masomoni kwa shughuli za kiintelijensia, Je angeachaje kuendelea kusoma ikiwa elimu ilikuwa ni jambo la msingi kwa maendeleo yake binafsi na kwa taifa?

Je hata kama aliingia kwa mgongo wa shughuli za kiupelelezi akitumia majina tofauti nay ale aliyozaliwa nayo huku wakuu wake wa kazi wakiwa na uhakika kuwa angekwamia njiani, mathalani mwaka wa pili lakini akafanikiwa kumaliza masomo, je wangewezaje ku reverse vyeti vyake alivyovipata kwa majina ya kiitelijensia.

Kwa upande wangu naona hakukuwa na jinsi. Makonda alitegemewa na wakuu wake wa kazi afeli chuo ili apewe misheni nyingine, lakini kwa bahati nzuri akafaulu. Sasa hapa equation ikawa ngumu kui reverse hivyo imebidi Makonda kwa kuwa ni kweli amekaa darasani na kupata taaluma aliyoisomea kwa kutumia mgongo wa ajira yake ya uitelijensia hivyo haina jinsi. Ni vyema taifa likaelewa nafasi aliyokuwa nayo Makonda iliyomfanya awe katika hali ya kubadilisha majina na nyaraka ili kutimiza majukumu yake aliyopewa na nchi yake.

Ni vyema wale wanaohangaika kumshitaki Makonda kuwa amefoji vyeti wakaelewa kua Makonda alikuwa kazini na alifanya hayo yote kutimiza majukumu yake kama ambavyo wanausalama wengine hufanya.

Hivyo kama ni kweli Makonda alifanya hayo yote chini ya mwavuli wa majukumu yake ya nyuma , sioni sababu ya yeye kushtakiwa sehemu yeyote juu ya suala hili na ningependa jamii ielewe kuwa makonda hakughushi nyaraka za elimu, bali alitumia ‘nyaraka mficho’ ili kuficha identity yake na kumuwezesha kutimiza majukumu yake.

Natumai kwa ufafanuzi huu, suala la vyeti vya ndugu Makonda, tutakuwa tumelifunga na wote kutawanyika vijiweni na kwenda kutumikia mkoa wetu kwa nguvu nyingi zaidi!

Mwisho ningependa kumshari Makonda apeleke maelezo yake yenye usahihi zidi ya haya kwenye tume ya maadili ya viongozi wa uma, ili tume hiyo iweze kutoa taarifa rasmi kwa umma na kulimaliza kabisa swala hili!

Asanteni

Wenu

Nichumu Nibebike (Mr)

West Bengal
Natamani huyo aliyemshitaki ashindwe kesi kwa sababu kesi za usalama wa taifa huwa hazina wa kuzisikiliza, na aliyetoa siri ya makonda aadhibiwe
 
Umemuelewa kwa 100% kuwa Usalama wa Taifa iko Wizara ya Mambo ya ndani sio?.... Kweli Bashite ana wenzake wengi.
Pole sana Kaka Yangu hivi akili zenu bado zimeshikwa mpapa leo jamani. Hebu waachie basi mjue Tanzania tukakoelekea Mungu wangu maana hii statement ''kuwa Usalama wa Taifa iko Wizara ya Mambo ya ndani sio?....'' umeiweka kinywani mwangu kama Chama chenu kilivyozoea, aku mi sijasema hayo hayo yako!
 
Makonda anaweza kuwa na mapungufu yake kama binadamu lakini huwa hainiingii akilini kwamba hakuna mtanzania hata mmoja anaeona juhudi zake katika utendaji. Katika watu wanaojituma na huyu jamaa ni mojawapo. Nilitegemea apewe moyo kwa juhudi anazofanya lakini kila andiko naloliona ni la kukatisha tamaa kitu ambacho hakimjengi zaidi ya kumfanya awe defensive.! Issue ya vyeti sitaki kuiongelea sababu sijui ukweli wake ni upi....lakini vipi kuhusu utendaji?! Na ukiongelea utendaji jaribu kulinganisha na wateule wengine wa Mh Rais ktk nafasi aliyonayo..tusiweke siasa katika kila jambo..kama kuna sehemu ameonyesha juhudi..mpeni feedback, mwambieni “hapa umefanya vyema au hapa umekosea, unatakiwa kufanya a, b,c. “ ! Itamjenga zaidi kuliko hivi tunavyofanya sasa. Kwa mtazamo wangu, jamaa anajitahidi sana, basi tu siasa zikichanganywa tunafunika kila jema analofanya! Hivyo wito wangu kwenu, mpeni mrejesho wa kumjenga, anapokosea mwambieni na pia anapofanya vizuri mwambieni..!
Hayo ndio maajabu makubwa ya watanzania nimeyajua miaka hii. Hawajui nini wanataka na nini hawataki! I tell you!
 
Ndugu wananchi, napenda kutumia nadharia kuelezea juu ya uwezekano wa uhalali wa vyeti vya taaluma ya Makonda ili kuweka kumbukumbu vizuri katika historia yake ya kisiasa ya sasa na ya baadaye.

Nimeamua kutumia nadharia ili kuondoa mzimu huu ambao unamuandama ndugu yetu mpendwa kwa siku zilizopita, za sasa na siku za usoni!

Wengi wetu tumepitia mfumo tofauti wa elimu tofauti na ndugu Makonda. Wengi wetu elimu zetu ndizo zimedetermine ajira zetu hivyo tunatumia vyeti vyetu mathalani vya udaktari kuombea kazi za afya!

Mh Makonda amepitia mfumo kinyume na huu, au ‘flashback education’… Taarifa zinasema kuwa huko nyuma, katika umri mdogo, Makonda alifanikiwa kupata kazi katika taasisi nyeti iliyopo chini ya wizara ya mambo ya ndani yaaani kama mwana usalama.

Yani Makonda alipata kazi kabla ya kuwa na elimu ya juu. Kama ambavyo mnaielewa fani ya usalma wa taifa. Hii ni kazi inayohitaji kupandikiza watu wasiotegemewa kabisa katika maeneo mbali mbali ili kukusanya taaarifa zitakazohakikisha usalma wa taifa, taasisi za kiserikali pamoja na usalama wa raia.

Kwa hiyo watu wa usalama wa taifa hupandikizwa katika sehemu mbali mbali, mfano vyuoni, kwenye mashirika ya uma na hata nje ya nchi.

Na kwa fani hii ilivyo ili uweze kufit maeneo Fulani basi mwanausalama ANALAZIMIKA mara kwa mara kubadilisha identity ikiwa ni pamoja na jina, kutafuta vyeti tofauti na vile alivyo navyo ili aweze kupenyezwa sehemu Fulani na kufanya kazi za kipelelezi bila kutambulika n.k

Kazi ambayo Makonda ameifanya kwa taifa hili huko nyuma, haina tofauti sana na kazi aliyoifanya Putin, Rais wa sasa wa Urusi alipokuwa sehemu mbali mbali ndani ya nchi na hata nje ya nchi kama Ujerumani. Ndipo Rais Boris Nicolayevich Yeltsin kwa kuona utendaji na ufanisi wa hali ya juu wa Putin ndipo aliopamua kumuandaa awe mrithi wake kwa nafasi ya urais.

Yawezekana pia Makonda alifanya kazi yake ya usalama wa taifa kwa ufanisi mkubwa kitu kilichopelekea wakuu wake kumpandisha cheo haraka haraka hadi kuwa mkuu wa wilaya na sasa mkuu wa mkoa.

Iwapo kweli Makonda aliifanya kazi hii hatari yenye kuhatarisha maisha yake na kwa manufaa ya taifa, hata kubadilisha identity ili tu kuhakikisha usalama wa taifa unapatikana, basi alistahili kuwa mtu wa kuhurumiwa na kuungwa mkono, tofauti na sasa ambavyo jamii imekuwa ikimchukulia kama mtu aliyeghushi nyaraka kwa manufaa yake binafsi na kumtupia mawe kila uchao.

Ikumbukwe kuwa, iwapo ni kweli Makonda ilibidi atafute vyeti tofauti na vile vya kwake (nyaraka/vyeti mficho) ili aweze kupenywezwa kwenye vyuo vya taaluma ya elimu ya juu na kukusanya taarifa ambazo sana sana zingehakikisha usalama wa wanafunzi zaidi ye elfu tano waliokuwa wanasoma chuo cha ushirika, basi wazazi wa watoto waliosoma chuoni hapo ndio wangepaswa kuwa wa kwanza kumshukuru Makonda kwa kuhakikisha kuwa anakusanya taarifa za kiintelijensia zilizowezesha kuwalinda watoto wao wakasoma kwa usalama na kuepusha kama yale yaliyotokea kwa wanafunzi waliokuwa wanasoma chuo kikuu cha Garisa kule Kenya.

Ikumbukwe kuwa, Makonda alifanya kazi nzuri ya kuhakikisha usalama wa wanachuo wengi wa ushirika, pengine pamoja na wakazi wa mkoa wa Kilimanjaro katika kipindi ambacho matishio ya ugaidi wa Alshabab yalikuwa ya hali ya juu… Inawezekana Makonda alifanya kazi nzuri sana ya kuhakikisha usalama wa maelfu ya watu waliokuwapo mkoani Kilimanjaro ila kwa kuwa taarifa hizo hazikuwa published basi inakuwa ni ngumu kwa watu wa kawaida kuelewa majukumu ambayo Makonda aliyapewa katika kuhakikisha ulinzi na usalama wa raia kwa upande wa Kilimanjaro na hasa chuoni Ushirika.

Taarifa zilizofanywa kuwa siri (ingawa sikuweza kuthibitisha taarifa hizo) zinasema kuwa kulikuwa na jaribio ambalo lilikuwa lifanywe na waasi kutoka katika nchi ambazo nchi yetu imepeleka majeshi kama kulipiza kisasi, na katika shambulio hilo magaidi walipanga kudondosha bomu kwenye ukumbi wa mihadhara uliokuwa na wanafunzi takrabini elfu moja na taarifa hizo zinasema kuwa Makonda alifanikisha kwa kiasi kikubwa kuzima shambulio hilo ambalo lingeangamiza maisha wa maelfu ya wanafunzi na kusababisha machungu yasiyozibika kwa familia nyingi ambazo zilikuwa na watoto, ndugu na jamaa katika chuo hicho!

Ni kwa vile hatuelezwi ni mbinu ngapi za kigaidi Makonda aliweza kuzizima na hivyo kulinda maisha ya wanafunzi wa chuo cha ushirika na kwingine alipoitumikia nafasi yake ndio maana jamii imekuwa ya kwanza kumrushia mawe mkombozi huyu aliyejitoa mhanga kwa ajili yao.

Taarifa kama hizi huenda mheshimiwa Rais alizipata kupitia utetezi wa ndani (yani confidential) na hivyo kuamua kumuacha Makonda aendelee kuitumikia nafasi yake pasipo na kuathiri maadili ya mtumishi wa uma.

Kumbuka Rais ana siri nyingi sana za nchi hii anazozifanyia kazi, huenda na hii ni moja wapo ya siri aliyoamua kuihifadhi kwa mafuaa ya taifa na kulinda mikakati ya kikosi cha upelelezi kinachofanya kazi zake kwa usiri wa hali ya juu.

Badala ya watu kudhani kuwa Rais alitumia busara za hali ya juu kumaliza swala hili na kuhifadhi siri za taifa, naye alitupiwa mawe kwa kumlinda Makonda!

Jamani ndugu wananchi, maswala ya kuwajibika kwa umma huku ukilinda siri za nchi ni mazito sana, hivyo kwa mheshimiwa Rais kulifanya suala la taarifa za Makonda kuhusiana na kubadilisha majina na kutumia vyeti vyenye majina yake yanayosemekana alikua akiyatumia nyuma kuwa siri ilikuwa ni jambo la busara zaidi kwake na lenye manufaa kwa taifa!

Mimi mwenyewe nisingependa kulijadili suala hili lakini baada ya kuona shutuma dhidi ya Makonda kuwa na athari kwa yeye kutimiza majukmu yake ya ukuu wa mkoa na kupata heshima stahiki zimekuwa nyingi, nimeona nilitolee maelezo kidogo.

Kwa hiyo kama ilivyo kwa wanausalama wengi, huwa wanapandikizwa mahali(kama vyuoni) kufanya kazi za kipelelezi na mara nyingi huwa hawamalizi mafunzo kwa kuwa wanafeli kitaaluma na hivyo kuamishwa sehemu nyingine na kuletwa wengine tena kuanza mwaka wa kwanza, swala hili lilikuwa tofauti kwa Makonda.

Japo Makonda alikuwa akitimiza majukumu yake ya kiintelijensia lakini pia alionesha kiwango kikubwa cha ufaulu na hivyo kuweza kuendelea na masomo yake. Ingawa inawezekana alipandikizwa masomoni kwa shughuli za kiintelijensia, Je angeachaje kuendelea kusoma ikiwa elimu ilikuwa ni jambo la msingi kwa maendeleo yake binafsi na kwa taifa?

Je hata kama aliingia kwa mgongo wa shughuli za kiupelelezi akitumia majina tofauti nay ale aliyozaliwa nayo huku wakuu wake wa kazi wakiwa na uhakika kuwa angekwamia njiani, mathalani mwaka wa pili lakini akafanikiwa kumaliza masomo, je wangewezaje ku reverse vyeti vyake alivyovipata kwa majina ya kiitelijensia.

Kwa upande wangu naona hakukuwa na jinsi. Makonda alitegemewa na wakuu wake wa kazi afeli chuo ili apewe misheni nyingine, lakini kwa bahati nzuri akafaulu. Sasa hapa equation ikawa ngumu kui reverse hivyo imebidi Makonda kwa kuwa ni kweli amekaa darasani na kupata taaluma aliyoisomea kwa kutumia mgongo wa ajira yake ya uitelijensia hivyo haina jinsi. Ni vyema taifa likaelewa nafasi aliyokuwa nayo Makonda iliyomfanya awe katika hali ya kubadilisha majina na nyaraka ili kutimiza majukumu yake aliyopewa na nchi yake.

Ni vyema wale wanaohangaika kumshitaki Makonda kuwa amefoji vyeti wakaelewa kua Makonda alikuwa kazini na alifanya hayo yote kutimiza majukumu yake kama ambavyo wanausalama wengine hufanya.

Hivyo kama ni kweli Makonda alifanya hayo yote chini ya mwavuli wa majukumu yake ya nyuma , sioni sababu ya yeye kushtakiwa sehemu yeyote juu ya suala hili na ningependa jamii ielewe kuwa makonda hakughushi nyaraka za elimu, bali alitumia ‘nyaraka mficho’ ili kuficha identity yake na kumuwezesha kutimiza majukumu yake.

Natumai kwa ufafanuzi huu, suala la vyeti vya ndugu Makonda, tutakuwa tumelifunga na wote kutawanyika vijiweni na kwenda kutumikia mkoa wetu kwa nguvu nyingi zaidi!

Mwisho ningependa kumshari Makonda apeleke maelezo yake yenye usahihi zidi ya haya kwenye tume ya maadili ya viongozi wa uma, ili tume hiyo iweze kutoa taarifa rasmi kwa umma na kulimaliza kabisa swala hili!

Asanteni

Wenu

Nichumu Nibebike (Mr)

West Bengal
Ona uzi wako huu ulivyokuacha mtupu..!?
Unajisitiri vipi sasa..!
Njaa itakuuwa ndugu.
 
UJINGA UJINGA TU.. WALA HATA HAIENDANI HII.. UNAANDIKA TENA KWA MIFANO MFU.. A THINKER WHO THINKS WITH EMPATHY IS NOT THINKING CRITICALLY.. CALL A SPADE A SPADE..!
 
Tangu lini usalama wa taifa ukawa idara ndani ya wizara ya mambo ya ndani?
Unaelezea kitu usichokijua
 
Toa upunga wako wako hapa

Usidhani kuna watu wanapenda mapunga siku hizi
 
Mleta hoja unatakiwa kujua kuwa umma unataka kujibiwa maswali ya msingi juu ya Makonda;- 1. Makonda alisoma sekondari gani na akitumia jina gani?. 2 .Makonda baada ya kuhitimu elimu ya kidato cha nne alipata daraja(division) gani?.
Umma ukipata majibu hayo utapata mwanga juu ya tuhuma zinazo mkabili sio hadithi hizo unazotuletea!.
 
Back
Top Bottom