Ufafanuzi uliotolewa na uongozi wa Simba

changaule

JF-Expert Member
Jan 10, 2020
5,587
9,179
Baada ya Taarifa ya jana kutoka tume ya ushindani kuwa uongozi wa Simba ndio wanaochelewesha mchakato wa mabadiliko, leo uongozi wa Simba wamekuja na majibu.

IMG_20201120_154725.jpg
IMG_20201120_154805.jpg
IMG_20201120_154845.jpg
 
Kina hamisi kigwa waliona mbali sana na wakasema wazi. Nyie mbumbu hamkusikia ..

Acha mwamedi awapige mnazani ndugu yenu yule ..

Ukimind tupigane
 
Kina hamisi kigwa waliona mbali sana na wakasema wazi. Nyie mbumbu hamkusikia ..

Acha mwamedi awapige mnazani ndugu yenu yule ..

Ukimind tupigane

Soma between the line kwa kilichoandikwa usiaibike.

Aya #19 kwenye huo ufafanuzi ina majibu yako.
 
Soma between the line kwa kilichoandikwa usiaibike.

Aya #19 kwenye huo ufafanuzi ina majibu yako.
Tusizunguke sanaa
Pesa ipo ama haipo? Kama imewekwa kiasi gani?.

Na kama bado je itawekwa lini?
Ni nini kinakwamisha mchakato huo mpka sasa?
 
Back
Top Bottom