Ufafanuzi tafadhali madaktari

NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,958
2,951
Habari zenu wandugu,naomba ufafanuzi wa kitabibu juu ya suala hili:-

Inasemekana, ukijisaidia choo kubwa na kikaelea kwenye sink la choo una matatizo ya kiafya, je hili lina ukweli?

Ahsante natanguliza shukrani
 
Sijaelewa mada!!! au weka na kapicha kusapoti huo mlalo wa huo mzigo kwenye "sink"
 
Back
Top Bottom