Ufafanuzi kuhusu wenye Divisions hizi watakaoweza kupata mkopo kutoka HESLB 2016/17

Hivi kweli ualimu kwa masomo ya arts katika swala la loans inaweza ikawa non-priority msaada please
Ndiyo Non-priority!
Ila ni tofauti na Watu Wanavyosambaza Pumba! Maana ya Non-priority Haimaanishi Ndiyo Hakuna Mkopo na Watu Wasiapply, Hapana!!!
Non-priority Ni Kuwa Uwezekano Wa Kupata Mkopo Upo Mkubwa Sana, ila tu Disadvantage yake ni moja, Kwanza Watapata Mkopo Priority wote Cluster 1 & 2 ndiyo Kama Bajeti inaruhusu hapo wataangaliwa wao.
Kwahiyo Watu Wa Arts Wanapaswa Wajaze Fomu na Kuomba Mkopo Kama Kawaida Na Wala Wasisikilize Maneno Ya Watu Kuwa Hakuna Mkopo Kwa Arts, Huo ni Uongo Kwani Kwenye GuideBook ya HESLB hakuna Kipengele Kilichozungumza Hivyo.

Mkopo upo ila sio Priority tu.
 

Mkuu hii form inajazwa wakati gani na nani?? unaituma wapi? ama unataka kunambia baada ya kujaza form ya mkopo unaambatanisha na hii kuzituma pamoja?? nimeziona mwisho guideline.
 
Hayo n maelezo ya grant na siyo loan
Ikumbukwe grants n free aka hulip baada kusoma
 
Grants, ni kwamba anapewa mkop bt hata rudisha, na hiyo sio kwamba ni mwaka huu tu!, bt ni hata miaka ya nyuma ipo
 
Na wale wanaosubiri majibu ya mitihani ya form VI ambayo hayajatoka inakuwaje?
 
nikupe zawadi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…