Mtade_Halisi
Member
- Feb 23, 2008
- 28
- 0
Ndugu wadau wa JF naomba ufafanuzi wa yafuatayo kuhusu utuexchange
- Ninanuaje hisa?
- Ninauzaje hisa
- Hisa moja ina thamani gani?
- Nitapataje malipo yangu?
- Nitanunuaje kama nataka hisa kwa fedha taslimu