Ufafanuzi kozi ya Leadership and Ethics

Jacob 29

New Member
Sep 27, 2023
4
2
Natumaini mkoa salama ndugu zangu.

Nimechaguliwa course ya leadership and Ethics je kazi zake kwa upana ni lazima uwe mwanasiasa au aliyesoma hiyo course anaweza kuingia katika field gani.

Naombeni ufafanuzi zaidi katika kozi hii
 
Back
Top Bottom