Muulize Ja Rule mkuu au GoogleWadau naombeni ufafanuzi kwa wenye ufahamu wa upekee wa watu wanaozaliwa tarehe 29 mwezi wa pili ambao husherekea siku zao za kuzaliwa Mara moja kila baada ya miaka minne.
Tuna gharama ndogo sana za kusherehekea siku zetu za kuzaliwa. Sie tunagharamikia birthdays zetu mara moja kila baada ya miaka minne. Wengine kila mwaka.Wadau,
Naombeni ufafanuzi kwa wenye ufahamu wa upekee wa watu wanaozaliwa tarehe 29 mwezi wa pili ambao husherekea siku zao za kuzaliwa Mara moja kila baada ya miaka minne.
Duuuh! Ahsante mkuu kwa ufafanuziSasa ufafanuliwe nini? Sijafaham swali lako! Leap year ni mwaka wenye siku 29 za February! Siku hiyo kwa tamaduni mbali mbali za wazungu ina maana tofauti! Wanawake waliokua hawajaolewa ndio siku yao muhimu kuomba mume akuoe! Yaani kupropose! Na kwa imani zao hufanikiwa! Hii inategemea na desturi za nchi na nchi za ulaya
Ulishawahi kumuuliza mama yako lini baba yako alikuingiza tumboni mwake tuanzie hapo kwanzaMimi najua siku ya kuzaliwa ni ile mimba ilipotungwa,maana ndipo uhai ulipoanza.kutoka tumboni ni kuikurubia dunia tu.
nimuulize wakati najua mimba yangu iliingia,sasa niulize nnachokijua.Ulishawahi kumuuliza mama yako lini baba yako alikuingiza tumboni mwake tuanzie hapo kwanza