naomba kuwauliza wana jamvi,mimi ninamzazi mmoja yaani mama ndo aliyebaki kwani baba yangu alifariki miaka 8 iliyopita kwa upande wetu tumezaliwa wengi na tayari tuna watoto wa kuwazaa wanafikia kama 27 ( wajukuu wa mama ) cha kushangaza mama yetu ameanza tabia ya uzinzi na mbaya zaidi anamleta jamaa mpa home na kulala nae kitanda alichokuwa analala na marehemu baba yetu,na pia anakuja nae mjini tunapoishi na kupokelewa na kaka yetu na analala na huyo jamaa kwa kaka.mimi hiyo hali napingana nayo na imenifanya nitengwe kwani nilikereka sana nilipogundua.
Nawasilisha
Sasa huko kwenu hakuna wazee wa ukoo?
That is non of your business just step away from that.Naomba kuwauliza wana jamvi,Mimi ninamzazi mmoja yaani mama ndo aliyebaki kwani Baba yangu alifariki miaka 8 iliyopita kwa upande wetu tumezaliwa wengi na tayari tuna watoto wa kuwazaa wanafikia kama 27 ( wajukuu wa mama ) cha kushangaza mama yetu ameanza tabia ya uzinzi na mbaya zaidi anamleta jamaa mpa home na kulala nae kitanda alichokuwa analala na marehemu Baba yetu,na pia anakuja nae mjini tunapoishi na kupokelewa na kaka yetu na analala na huyo jamaa kwa kaka.mimi hiyo hali napingana nayo na imenifanya nitengwe kwani nilikereka sana nilipogundua.
Nawasilisha
dah.....huyo ni mama yako mzazi kabisa.......?.....ingekuwa mimi.....ningeficha siri ya mama singeisema hapa.....halafu.....kama baba amefariki.....mama haruhusiwi kupata huduma za msingi kama binadamu....?.....angekkuwa kafa mama.....baba yenu angeleta mama wa kambo.....nae pia ungekuja kutuuliza........?
kiapo huwa "mpaka kifo kitutenganishe". Sidhani kama anakosea